Prof Kabudi......akili nyingi, maarifa, msomi mwongeaji mzuri, anajua sheria, historia ya nchi, Afrika na dunia, na kutumikia Wizara mbalimbali kumemuongezea ufahamu mkubwa wa Serikali na matarajio ya wananchi. Sidhani kama ana tamaa ya kujilimbikizia mali pia