Vifaa na Maabara za hawa wachache tumeshindwa kuwapa kwa ubora je hao wote itakuwaje?nashauri kabla ya uamuzi huu kufanyiwa kazi wadau wa ELIMU washirikishwe la sivyo yatatukuta km yale ya kuunganisha masomo(physics&chemistry)
Yani nimekosa maneno ya kukuandika kwa ajili kukujibu kuhusu uliyoandika ,itoshe kukuambia "ni bora kukaa kimya kuliko kuandika ushicho kijua au kukifikiri kwa kina"
zingekuwa nchi za watu,mbunge huyu angekuwa ameshajiuzuru kwani kutuhumiwa tu kwenye sswaala la kodi ni fedhea kubwa ila kwetu atapewa muda baada ya kukubali kwamba ni kweli alifanya kosa
km hili jambo ni kwa ajilii ya kumsaidia mtu fulan sawa ila liwekewe utaratibu maalum kwa watu maalum watakao pata usaidiz wa wakaluman la sivyo fedha nyingi zitatumika
washauri wazuri wa nchi hii wako wapi wasifumbie macho haya yanayotokea wakaona aibu ya kubenzwa na wale wasiona mbali kwani maamuzi mabaya ya leo yana madhara makubwa kesho,kuanza kutaifisha kutawaogopesha wawekezaji wa ndani ama wa nje kuwekeza nchini nakumbuka wakati wa mkapa anahamasisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.