Ila kila mtu hufa. Unawezaje kuwa na uhakika kuwa mtu kafa kwa sababu ya kumkashifu Mungu? Kama adhabu ya kumkashifu Mungu ni kifo basi sisi wote tutaja mkashifu Mungu.
Bwahaahahahahahahahaha niite waandishi wa habari wa nini? Wewe ndio mwenye "inside info" bwana maana kweli hii ni "siri". Nina uhakika ni wachache sana waliokuwa wakidhani Shivji na Warioba wana ugomvi. Serious mkuu this is big stuff usiishie tu JF. Many people need to know this...
Bwahahahahahahahahahahahaha endelea kaka. Hukatazwi kuongea na wala hulipii maneno. Maneno yako mazito sana nina uhakika wengi wangependa kujua zaidi kuhusu your "inside info". Why end at JF? Mimi naamini kabisa ukiita waandishi wa habari watapenda kusikia what you have to say. Hebu waite bwana...
Kumbe ni fimbo kwa fimbo. Mimi nilidhania ni mjadala. Kumbe umeanzisha thread sio kwa kujadili bali kwa "fimbo kwa fimbo"? Haya endelea mkuu. Uzuri maneno yako si sheria na hayana effect yoyote nje ya servers za JF. Zingekua na influence where it matters ninge ogopa.
Naona kuna baadhi ya watu wame fanya kutaka serikali tatu kuwa kosa kubwa la jinai kama vile kuua. Hivi kama Mzee Warioba ana amini katika serikali tatu so what? Naamini kabisa sio kila mwanaCCM ana mawazo sawa. Ni dhambi kama kweli huyu mzee ana amini katika serikali tatu? Just asking...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAHADHARI NA MTANDAO WA UTAPELI UNAOJIITA TCRA FOUNDATIONMamlaka ya Mawasiliano imebaini kuwa kuna mtandao wa matapeli wanaotumia jina la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kutumia tovuti inayojiita TCRA Foundation na inayodanganya kutoa mikopo kwa...
Sawa. Kaapply kazi zipi. Bado ina baki pale pale kwamba kuna baadhi ya kazi kuwa na kigugumizi inaweza kuwa disadvantage. Mfano nu ualimu. Mtu mwenye kigugumizi anaweza ongea lakini ata chukua muda mrefu zaidi kuongea kitu fulani. Au mfano kazi ya customer care, mteja ana piga simu customer care...
Alikua ana apply kazi ya aina gani? Kama ni kazi zinazo hitaji mtu kuongea mbele za watu mara ka mara (public speaking) kweli kigugumizi kinaweza kikawa kikwazo. Kwa hiyo tueleze vizuri ni kazi zipi haswa alizo kuwa ana apply?
Maslahi ni kweli muhimu ila ingekua muhimu kama unavyo taka kuiweka basi ungefuatilia kabla huja apply. Kama maslahi ni muhimu sana imekuaje ukasumbuka kuapplly kabla ya kujua malipo?
Kuna SACCOS zinatoa mikopo yenye riba nafuu. Kuna benki zinatoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo wadogo. Kuna NGOs zinatoa capital kwa wajasiriamali wadogo wadogo kama wakiwa na good business plan. Unaweza kopa hela kwa mtu unaemfahamu kama ni mtu wa kuaminika. Njia zipo nyingi. Mtaji sio lazima...
Acha kuwa mbishi. Sicho nilicho maanisha. Hata huko kazini unapo kwenda huna experience napo seti? Si unaenda kufundishwa seti? Sasa nikupe mfano.
Pia huko kudharau na kudai "viujasiriamali vya kuuza kuku" kwa taarifa yako biashara ya kuku ndio one of the most profitable. Kifaranga kimoja ni...
Hivi kuna mahali nimesema aende akauze mitumba? Mtu ukijisifia na elimu unashindwa kuwa mbunifu? Umesha wahi sikia miradi ya kuku? Mboga mboga je? Tatizo hamjifikirishii ndio maana ukakimbilia kutaja kuuza mitumba wakati sina nilipo sema wasomi wakauze mitumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.