Recent content by mwanaetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Amiri Jeshi Mkuu, angalia suala la matumizi ya barabara kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Vyombo vya ulinzi mambo yake yanafanyika kwa kustukiza. Inaoneka wewe kuna kitu unavizia lkn kila mara wanakusuprize so umeamua kulia lia nyuma ya key board
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Ni kweli siyo uongo. Nilitoka bukoba saa kumi alfajiri nikaingia Dar saa tatu usiku. Sina haja ya kukudanganya ndugu yangu. Hizi gar zinajipooza zenyewe Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Inafika kabisa bila tatizo lolote. Mimi nilitoka nayo Dar mpaka bukoba. Nilipumzika nyakanazi kwa kuwa ilikuwa usiku. Siku ya kurudi nilirudi moja kwa moja mpaka Dar bila tatizo lolote bila kupumzika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wauza magari tukutane apa

    Natafuta Alteza namba D
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Waliovamia na kuwapiga raia Ukonga Mombasa ni wahuni wanaojiita kuwa ni Askari Polisi

    Vikosi vya usalama vichukue tahadhari kwani hayo maeneo kuna vijana wengi ni vibaka na wezi hasa katika vijiwe vya bada boda. Mwaka jana hao vijana walivamia hostel za wanafunzi wa KIU wakawapiga na kuwaibia vitu vyao na hizi taarifa zipo kituo cha polisi stakishari. Hawa hawakawii kufanya hivyo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Single mama, wawapiku wasiyo single mama kuolewa

    . ; . . . Ccx[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]zzzźwźźzźz '""; 3 ? 2zzzźzzzźź2n???m X
  7. M

    JamiiForums Tanzania Si kweli kwamba Rombo ni masikini

    Kuna mgao wa maji wa kutisha ingawa wapo karibu na vyanzo vya maji. Bei ya maji kwa unit moja ni kubwa kuliko hata maeneo ya jangwani. Ukitaka kufungiwa maji kibali ni laki sita na kukipata ni majaliwa. Fanya research yako vizuri kuanzia eneo la Tarakea Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania ESCROW: Serikali yazuia mali za Singh na Rugemalira, watuhumiwa zaidi kuongezeka

    Hilo li IPTL ndio lilisababisha umeme kuwa gharama kubwa na pia deni kubwa kwa Tanesco mpaka sasa. Natamani mali zao zitaifishwe ili zifidie deni la Tanesco
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.

    Matajiri walivyokuwa wanaita police hawaongei na mbwa wanataka kuongea na wenye mbwa mbona hamkujitokeza kulaani huo udhalilishaji
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

    Waziri yupo pale kwa niaba ya Raisi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu someni hiki kisa cha ukweli mpate kujifunza kitu ndani yake

    Uongo uliopindukia. Shetani anasubiri kupigwa picha na kupelekwa mahakaman?????
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Usomi wa kuchumia tumbo. Usomi bila uzalendo ni mbaya kuliko ujinga na upumbavu.
Back
Top Bottom