Really Really?n Eti biashara ya kimasikinimaanayake nini , ikiwa yakimaskini ndio akwepe kodi no way out Ndiomaana wazazi wao wakitoka nadarakaninwanaishimkwa tabu kwa kuzoea kubebwa.Anapaswa kulipa kodimkamammfanyanbiashara mwingine
Wewe jibu hoja iliyoletwa. Marehemu anahusikaje hapa. Naoma mnamuwaza mnamuota. Hebu endeleeni na mashia yebnu wewe elezea Rais mzima hayupo shughuli za Muungano wakati benefit za muungano anapeleka kwao wake up. Unless wewe nu=i wa uoande wapili nitakuelewa.
Eti hatoai bahasha acha propaganda zako. Sasa walipokuwa anatoa bahasha ndio umeme ukawa unawaka?????? Huyo makamba wako afamnue kazi what we want ni umeme and nothing else. Akili ya panya ndio itaamini ni wivu. Huo uwaziri labda ungekuwa ufalme. Huo uwaziri wa siku mbili anapewa mwingine? huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.