Recent content by Mwana wa Manabii

  1. M

    CCM wamekuja Chuoni kwetu kutuomba twende Sabasaba

    Duuh mkuu kumbe ni dhambi kubwa namna hiyo (kama ya kumkufuru Roho Mt.)
  2. M

    Wasomi wetu acheni Siasa, saidieni Taifa!

    Ni kweli mkuu mimi sikutegemea mtu kama shivji kuongea pumba kwa maslahi ya chama fulani, Ila mkuu pale chini nikurekebishe kidogo Bwana Yesu ndiye atakayerejea tena ila mtume sijasoma sehem yoyote kuwa atakujarejea tena @naomba kuwakilisha
  3. M

    Aliyosema Kakobe yanatimia

    Tatizo ccm wakishinda kwa kura za kuchakachua wanajiona wameshinda kweli, nyie hamnjui kama ingekuwa haki ccm hawangekuwa madarakani mpaka sasa, mikutano yao yenyewe mpaka wakodi magari ya kureta watu kutoka mbali lakini still wanajitia moyo kuwa mikutano yao inajaa watu wakidhani bado wanakubalika
  4. M

    Nani mwenye akili kuliko Mwl Nyerere?

    Kuna watu kibao tu wanaakili kuliko nyerere, wewe unamjua kambona, alikuwa jembe sio kawaida na nyerere alikuwa akiona kiongozi yoyote anamzidi fuatilia historia utaona alikuwa anamfanya nini
  5. M

    Bunge kuvurugika kesho J'tano: Sitta kuwasilisha mabadiliko ya kanuni hizi...

    Sema kwa nafsi yako na kama mko wengi basi tumeshajua wewe ni wa chama gani
  6. M

    Lowassa achanja mbuga; CHADEMA wammezea mate!

    Ha ha ha ha ha mkristu sio mkristo sawa kabisa ungesema mkristo ningekupinga kwa hoja ya neno la Mungu, Wakristo hawafanani na Zito
  7. M

    UKAWA: Tunaitambua rasimu moja tu

    Vipi wewe kwani wewe mpaka uone mkoa wa simiyu wanasemaje ndio ukubali serikali tatu, what is mkoa wa simiyu au hujaisoma rasimu ya Jaji warioba nini!... zile enzi za zidumu fikra za mwenyekiti wa ccm, zilishapita
  8. M

    Siku CCM ikibadili jina 'itakufa' haraka sana!

    Mkuu una ufunuo ungekuwa mhubiri ungekuwa na doctrine. anyway nakubaliana na wewe jina hili limeficha dhambi nyingi sana ndani na bahati mbaya waumini wake huwa hawataki hata kusikiliza na kuamini pale inapotokea mtu anaanika dhambi zilizomo ndani hata kama ukimpa ushahidi ...ni kama ugonjwa...
  9. M

    Jambo Tanzania TBC 1: Kingunge Mwiru na Pandu Kificho juu ya Serikali tatu

    Ha ha ha ha ha Mganga wa kienyeji anatoa ushauri wa kutengeneza katiba duuu labda ya kuzimu lakini kama ni Tz yetu ashindwe kwa jina la Yesu
  10. M

    Jambo Tanzania TBC 1: Kingunge Mwiru na Pandu Kificho juu ya Serikali tatu

    mwakilishi wa wanganga wa kienyeji (whitchdoctors) atakuwa na mawazo gani,
  11. M

    Swali: Kwanini CCM inapendwa sana na watanzania wengi?

    Mkuu uko sawa, leo tu nimetoka kuwaambia jamaa hapa ofisin hivyo hivyo, niliwatolea mfano wa kalenga kwamba kama marehemu Mgimwa mpaka anafariki amemalizia safari yake kwenye wizara ya fedha na amekuwa mbunge wao kwa Muda mrefu lakini hakuna maendeleo cha kushangaza wananchi haohao na umaskini...
  12. M

    Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

    Mkuu serikali tatu haziepukiki, mzee anajua kushusha mistari mimi nilimwona kama mhuburi furani wa neno la Mungu maana niliona waheshimiwa wamekuwa touched sana
  13. M

    Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

    Pamoja na mawazo yako kumbuka hoja ya serikali mbili au tatu haiepukiki kuijadili, kwani hayo uliyosema utayafanikisha katika serikali ipi 'fikiria tena'
  14. M

    Kamuhanda amepandishwa cheo kutoka SACP kwenda DCP (Deputy Comissioner of Police)

    Serikari iliyopo ni MENE MENE TEKELI NA PERESI
Back
Top Bottom