Recent content by mwana ibungila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Watakaoenguliwa Urais CCM hawatakiangusha chama wakihama

    kwani ccm ndio yenye kutoa rais.miaka hii !!sio miaka ire':dunia itashanga kama serikali za mitaa.bila nguvu ccm isingepata hata 30% Mungu ibariki tanzania
  2. M

    JamiiForums Tanzania Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

    Tafuta.ipo kigoma
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ikitokea CHADEMA Ikashinda Uchaguzi ikapewa Nchi, Je Hakuna Hatari ya Kugeuka Utawala wa Kidikteta wa Ajabu Kabisa? Nauliza Tuu!

    mkuu suara la huyu jamaa anaefuatwa na makada wa ccm ni uzushi! hata ariepo madarkani irikuwa hivi hivo.wananchi tubadirike wanatumwa kwa masirahi yao.uchaguzi ukiisha wote wanapewa nafasi ya kutuongoza.Tutafakari ndugu zangu.Nchi hii itwakwenda bila ccm wala tusidanganyike kuwa ccm ndio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yakwamisha Ujenzi wa maabara Tarime-Mara

    ndiyo serikari ifanye kila kitu kwasababu ina dhahabu ,gesi;bandari;misaada;madini ya kila aina.vipi viongoi turiowajiri wawe na pesa nyingi kiasi cha kununua wananchi watanzania wote.lakini hakuna wakuwauriza.ira kujenga maabara na maendeleo mengini tushirikishwe.wambieni hao mafisadi wafanye...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    Huyo mleta maada hana ufahamu!lingine kakosa kumbukumbu ya viongoz wanaotumia gari za serikali.Akitaka kujua angarie safari za mabosi wake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini 2015 ndio mtangaze ada Sekondari bure? Mpunguze bei za umeme/mafuta, mlikuwa wapi?

    maamuzi yangu yoko parepare .siwapendi na wala sitawapa kura.pambaavu!!!!!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Slaa na Josephine Mshumbusi (wife) kwa new baby born

    Hongera sana mzee.Mungu hakutoa mwisho wa kuzaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Machemli, mbunge wa Ukerewe aburuzwa kortini kwa kutokumlipa mshahara katibu wake

    Hatuwashangai mnapopata habari za haw makamanda mnapata mihemuko sana!wewe na mashemli nani mchumia tumbo?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chenge: Mimi ni tumbili

    Hawa wakubwa wataendelea kuitesa nchi hii wanaemkamata ndie arie chola diri.anaemfunguria mashitaka ndie arieshirika ki namna ya kufanikisha mipango.ivi ninani atakae msaliti mwenzie?jibu hakuna.mwisho ya yote nikubadiri mfumo wa uongozi wote .bila kufanya hivyo tutalalamika mpaka basi.wananchi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2015 Ubunge na Udiwani, CHADEMA Tangaza Nia Hapa

    Huna uwezo.pereka magamba yako kwa hao wenzi wa kijani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mtangazaji nguli Dotto Emmanuel Bulendu?

    Minamtakia safari njema ndg doto blendu maana huku star sasa hakufai.jiurize pacha wake siku izi yuko bbc anakula bata bila shida!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waijua kampuni hii ya HydroTanz yenye kiti chakudumu Ikulu chini ya Singasinga??

    sasa warivvyokuwa wanatpata kana kwamba huyu jamaa ndoanaza na hilo dili?kumbe bado tunatumika.wakubwa badirikeni.hata boko haramu warianza hivihivi. wananchi walilalamika vipngozi wariziba masikio.je vipi saaizi nchi ire iko salaam?tafakari
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM tuungane kupinga upuuzi wa UKAWA

    muwe ni watu wakufikiri.ivi pesa kama haikuwa ya uma .nini maana ya kuwatuma cag na takukuru .nyumba ya jirani unaweza kuipekuwa bila idhini yake
  14. M

    JamiiForums Tanzania Raisi kwanini wanahabari?

    ndugu zanguni minaomba ufafanuzi kuhusu raisi kuongea na wazee badala ya wanahabari.nijuavyo mimi wakati wa raisi jk nyerere.kukiwa na jambo linalotatiza nchi arikuwa anaita wanahabari anawereze baada ya hapo wanamuriza maswali.vipi leo rais anahutubia bila kuurizwa maswali.naomba kunijuza
  15. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA: CCM wajiandae kwa anguko 2015

    Asalaamu ndgu zangu, ilizoe kuongoza nchi kwamazoea.na hata matamko ya kwenye jukwaa. Kwa mfano huku kwetu CCM walikuwa wakipanda jukwani kuwanadi wagombea wao wenyeviti, walikuwa wanatukana wapinzani kana kwamba ndo sela. Hawakuweza kupata wananchi wakuwaunga mkono na kutishia kuwa CHADEMA...
Back
Top Bottom