Recent content by mwana ally

  1. M

    JamiiForums Tanzania Achari/Ubuyu wa embe

    Nilishaletewa toka Mombasa..tamuuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Nimekuelewa. Ngoja nifanye mchakato ..asante Zainab
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Ili nijue naagiza mikebe mi ngapi..Mimi na jamaa hapa nyumbani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Huo mkebe mmoja unatosha kufanya hiyo kazi mwili mzima Mara ngapi..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Poa hongera kwa bidhaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kurasa ya Mapishi mbalimbali

    Haifunguki jamani Fakhrina..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kurasa ya Mapishi mbalimbali

    Mi Niko nyuma yako hehehee
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutengeneza pizza keki

    Maelezo mwaka umeisha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa jinsi ya kutengeneza visheti

    Fakhrina hujambo mamii..natamani kupika hivi visheti..naomba vipimo nijimwage Leo Ramadhan 21..hivi naenda nunua hiyo castard
  10. M

    JamiiForums Tanzania Namaliza degree mwezi ujao, nitaenda wapi?

    Matokeo mabovu...ni matokeo ya kuendekeza starehe hali ukijijua wewe ni mwanachuo..umepanda mbaazi umevuna mbaazi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Mimi pia ni muhitaji. Ninahitaji Business plan kwa ajili ya biashara ya stationery...pamoja na Uwakala wa kutuma kupokea fedha kwa mitandao..mfano Mpesa..Tigopesa. Fahari huduma Equity nk. Msaada wana Jf
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Business Plan

    Salam kwenu wana JF. Natamani kufanya biashara inayohusiana na mitandao..mfano Uwakala wa Fahari huduma...Equity bank...Mpesa... Tigo pesa nk...nsaidieni wakuu. Kuna mfadhili anataka kunisaidia amehitaji business plan. Nami sijui nianzie wapi..natanguliza shukrani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Urembo: Jinsi ya kuzuia na kuondoa wrinkles

    Tiririka mamii
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Hamjambo wapishi
Back
Top Bottom