Pole sana inaonekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.Hyo mwinyi amechukua nchi ukivaa KAUNGUZA,TV kwako ilikuwa anasa tunamsubiri nyerere akiangalia ndiyo aje kutuhadithia aonekane mtabiri.Hivi kuna kiongozi aliyeiuza hii nchi kama mkapa?kiwila,resolute,buhongwa,kahama,geita,mara,mashirika...