Recent content by MWAMTOBE

  1. MWAMTOBE

    JamiiForums Tanzania Mnisaidie hiki cheo kwa kiingereza kinaitwaje?

    GENERAL SECRETARY PO-RALG
  2. MWAMTOBE

    JamiiForums Tanzania Kuomba ajira za ualimu 2020

    Wadau Habari za Leo. Mwenzenu nimekwama kwenye kuomba kazi ya ualimu kwa mfumo wa TAMISEMI. Nilifungua account na kila nikilog in inagoma kabisa inaniandikia wrong credentials. Nikijaribu kwenda ku reset password, naambiwa Failed to deliver to..... (email). Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia...
  3. MWAMTOBE

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Facebook app

    Thanks for your help. Nimefanya hivyo lakini bado sijafankkiwa
  4. MWAMTOBE

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Facebook app

    Wadau Habari, Nilikuwa na akaunti ya Facebook. Juzi simu yangu ilizingua kidogo hivyo Nika Uninstall Baadhi ya app ikiwemo Facebook. Baada ya hapo Nika reinstall ila Facebook kila nikitaka ku sign up naambiwa no internet connection hata kama network inasoma 1Mb/s Je nifanyeje ili kuirudia app...
  5. MWAMTOBE

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kusoma Uganda, je nikasome tahasusi gani?

    Hakuna form five Uganda Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MWAMTOBE

    JamiiForums Tanzania Njombe institute of tourism and hotel management kinawatangazia nafasi za masomo

    Form zinapatikana wapi?!
  7. MWAMTOBE

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    imekubali Waooooooo Oooooooh
  8. MWAMTOBE

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Mbona haitaki tenaaaa
Back
Top Bottom