Njombe institute of tourism and hotel management kinawatangazia nafasi za masomo

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
376
127
NJOMBE INSTITUTE OF TOURISM AND HOTEL MANAGEMENT kinawatangazia nafasi za masomo kwa kozi zifuatazao

1. Basic hotel management
2. International Tourism
3. Tour guide
4. English communication
5. Food production
6. House keeping
7. Food beverage service
8. Computer course
9. Hotel reception.

Chuo kimesajiliwa na VETA C.30/650 na kina mazingira mazuri ya kujifunzia.

Ada zetu ni nafuu sana kwa kujali kipato cha mtanzania wa kawaida tsh.450,000/= tu. Mwanfunzi akihitimu mafunzo chuo kinaratibu ajira sehemu mbalimbali kote Tanzania na nje ya Tanzania.

Ewe mzazi/mlezi mlete mwanao kwa mafanikio zaidi. Sifa ya kujiunga ni awe amehitimu darasa la saba au kidato cha NNE..

Kwa mawasiliano tupigie kupitia 0754004189 au 0762473873

Karibu sana. Masomo yataanza tarehe 1 march 2017
 
hostel kwamwaka kiasi ani?
 
Asante. Chakula unajitegemea hata hivyo wanafunzi wao wenyewe wanajipikia vikundi vikundi. Form ni sh. 10,000/= tu. Hata hivyo hulipi michango yote j moja. Unapopata unapunguza kidogokidofo.
 
Back
Top Bottom