Recent content by mwampumbuje

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu

    Wadau mwenye Nokia E6 tafadhari
  2. M

    JamiiForums Tanzania Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    Rutatika ataokoa jahazi, si alishatoa ahadi ya kwenda Ha-wii-wii.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    Lara, you are the best:):):)!!!! Natamani part 2 kusikia wale x-office mates wa V
  4. M

    JamiiForums Tanzania Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    Khaa, Lara, hii kali, umeuaaa. 'Anajifinya kuona kama hajakufa' LOL Yani hii story kadiri muda inavoenda ndivo inapozidi kuwa tamu zaidi. Leta mambo, saa nne hiyoo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sisters of mercy house of prostitution

    Haa haa, jamaa alikuwa mnunuzi inaelekea. Alitaka ona biashara ya masister iko vp. Poor him
  6. M

    JamiiForums Tanzania Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    Pastor mbayaaa!! "Njoo tuongee", saa nne usiku? afu jinsia tofauti? ana lake jambo si bure. Saa nne ilee...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyeongoza kitaifa matokeo ya kidato cha nne aahidiwa ajira na Benki ya CRDB

    Usiwatie watu matango, Zain - BON hawakuwa na mkataba wa kubakiza watu, so far wana watu wawili tu nafikiri kati ya waliowasomesha.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Rent Nauza Kiwanja Goba

    Naomba kueleweshwa hiyo goba ya wasambaa ilipo kwa ufasaha zaidi, mivumoni siijui pia. Napafahamu goba njia nne, njia panda ya Atlas(madale) na goba chuo cha walimu, unaweza anzia popote kuelekeza. Au kwa urahisi zaidi dondosha coordinates za googlemap lilipo eneo lako njia nitatafuta mwenyewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Weekend Story: YANGA! (Naipenda yanga shabiki wa damu)

    Hee heee. Lara ataliza watu mpaka hii story iishe, na hivi week juzi tu Yanga wamechinja mnyama tena.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Benki gani ni nzuri kwa kufungua akaunti ya mtoto?

    Ingawa hao CRDB hawakuruhusu kutoa zaidi ya asilimia fulani ya hela uliyoweka, kama una mpango wa kutoa hela yote wakati ukifika nadhani haiwezekani, labda kuwe na utaratibu mwingine
Back
Top Bottom