Ua very rite, black south africans wanamchukia sana jamaa, wanasema hata mateso aliyoyapata ya kuumwa mda mrefu ni sababu ya usaliti mizimu ilikua haitaki kumpokea...kuna mahero wq ukweli kama sobukwe hawasemwi sana coz walikua na misimamo ya kutetea maslahi ya blacks
Tupe siri ya hayo mafanikio mujydebubyz, ni masharti gani unayazungumzia? maana kutoka ishirini naa mpaka 2 inaonesha mafanikio makubwa sana, ilikuchukua mda gani kufikia hayo mafanikio?
Tendwa yuko wapi? kama kweli anaipenda hii nchi anatakiwa atoe tamko dhidi ya CUF. Sidhani kama Lipumba aliitwa kwenye ule msikiti kama individual, na hata kama ni ivyo,aliambiwa kabisa kuwa theme ya mazungumzo yake iwe hali ya siasa nchini, which means alikua anaongea sio kama individual, but...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.