Nawapongeza Nyanza Construction kwa uwezo wao wa ujenzi wa barabara za kiwango cha lami hapa mkoani Dodoma. Mji sasa unaonekana kupendeza lakini pamoja na ujenzi mzuri wa mitaro ya maji, watu wameshaanza kuijaza mitaro hiyo na uchafu wa aina mbalimbali. Mamlaka husika chukueni jitihada kudhibiti...
[/B][/I]
huu ndio upumbavu nisiopenda kuusikia maana hiyo EPICA inawalipa watumishi gani mbona sie watumishi wa vyuo vikuu hasa hiki kipya na kikubwa kuliko vyote na kilichoko dodoma Tanzania hatujalipwa madai hayo toka 2009 na EPICA hiyo imetuweka mstari mmoja yaani aleanza kama assistant...
Sema tu wale vijana wenye jineri (ginning machines) pale nyakabindi na kidulya. Wasukuma hawa kwao ni pale majahida au wapi vile au ni wale walionzisha benki kwa jina la crdb mwanzoni kabisa mwa mji baada ya kutoka salunda shule ya msingi ama ni wapi hao
TCU inaongozwa na Prof ambae ndie aliongoza tume ya Mh Pinda ambayo inataka waliopata division Zero kwa matokeo yaliyotoka mwaka huu wajiunge na kidato cha tano na wengine warudie sekondari.
Ni TCU hiihii ambayo imeruhusu mwanafunzi kudahiliwa chuo hiki na akiona hapa elimu haimruhusu kuendelea...
Na hilo ndo tatizo la wabunge wetu. Kwa nini juma nkamia kama mbunge tena anaeshinda muda mwingi sana sehemu inayoitwa kwa wajasiliamali asitafute hayo anayoyapinga? CD hizo kama kuna mtu anayo angeweka humu kupitia youtube ili hayo anayopinga nkamia yaonwe na wengi halafu akanushe.
Mh...
Mh Zitto na Ndugulile ni walewale tu. Mnaongoza kamati za bunge ambazo kwa muda mwingi mkipigiwa kusikiliza kero na walimu na wahadhiri hampokei simu za wahitaji. Mfano ni hicho chuo kikubwa cha umma hapo mnakoendesha vikao vyenu vya bunge, chuoni hapo yapo madai makubwa ambayo kwa mara zote...
Mwigulu anaumwa kwani kama angekuwa mzalendo kwa watanzania angeshauri serikali yake ilipe madeni kwa wafanyakazi wake na kuwalipa ipasavyo.
1. Wafanyakazi wanakatwa kodi 30% halafu waziri anasema ni kati ya 10-20% ya pay as you earn
2. Walimu wa shule zote hadi vyuo vikuu wanadai salary...
Mh mwigulu kama wewe kweli ni mzalendo kwa nchi yako, umeshafanya juhudi kiasi gani kuona walimu wetu, wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma wanalipwa arreas zao ambazo kwa miaka yote hii toka 2009-2013 wanalipwa mshahara sawa na atakae ajiriwa leo? Watumishi mbalimbali wanalalamika serikali...
Airtel bwana kiboko. Mie niliweka pesa kwa ajili ya kujiunga na internet bundle ya siku kwa kupitia huduma yao mpya ya yatosha. Mchakato wa kujiunga ulikamilika na kuarifiwa kuwa nimeshaunganishwa na huduma hiyo. Cha ajabu nilipojaribu ku-log in kupitia Google hata hiyo page sikuipata vema...
Nilishasema wapemba na wazanzibari walioko bara pia tuwatimue warudi kwao huko maana karibia wote ni uamsho tu maana hata ukimwangalia shein, maalim, na wengineo ni uamsho mtupu. Vilevile hakuna hata sikukuu ya muungano kufanyika katika hali hii. Lakini kanisa katoliki nalo liwaondoe tu...
wakutane wazungumze nini wakati waislamu waloko kwenye taasisi hasa za umma wanaajiriana wenyewe tu na kuwaacha wakristo nje eti wameshindwa usaili? Mie naona twende mbali kuwa wawepo wahasibu kwenye mabenki wanaolipa wakristo tu na wanaolipa waislamu tu kama benki ya nbc ilivyoamua kufungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.