Recent content by MWAMLIGO

  1. M

    Best wishes kwa wanachuo wote wa muce wanaoanza ue j3 tar.03 jan 2014

    Nashukuru, basi nakuomba useme neno juu ya UE ya MUCE na MUNGU atajibu. Ubarikiwe.
  2. M

    Best wishes kwa wanachuo wote wa muce wanaoanza ue j3 tar.03 jan 2014

    kwakweli hata kama mambo yamebana sana na walio wengi hawajui course work zao hadi leo ijumaa na jumatatu Ue ianze,ni wakati ambapo kila mmoja anayeguswa kuomba kwaajili ya jambo hili afanye hivyo,maana kuna hali fulan ya sintofahamu iliyotanda hapa. But, ninachoamin Mungu atabaki kuwa Mungu.
  3. M

    Kazi TAKUKURU

    Bora ww umemaliza mwaka huo, mimi ndo kabsa nimemaliza Std vii 1994. Je?
  4. M

    Matokeo kidato cha pili 2012 hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia.

    ASANTE SANA WAZIRI WETU KWA KUDADAVUA MATOKEO HAYO. NAomba nirudie kauli yangu niliyo wahi kuituma kuwa 'Mfumo wa elimu ya sekondari unategemea elimu ya msingi' Sasa kama elimu ya msingi ni hoi, unategemea nini kwa elimuya sekondari? Utaratibu wa kuwatahini wanafunzi wa darasa lasaba kwa...
  5. M

    Navunja ndoa ya mtu!!!!

    pole jamaa,pamoja na huyo dada.stay away from now,la sivyo watakukata shingo!
  6. M

    Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha tatu 2013

    Kwa level ya kidato cha pili kama mwanafunzi alikuwa ameandaliwa vizuri kuanzia shule ya msingi wastani wa alama 30 ni mdogo sana.Tatizo ni kwamba mfumo hasa wa KUWATAHINI WANAFUNZI wa shule ya msingi ni mbovu sana sana sana,huwezi ukampa mwanafunzi hesabu akokotoe halafu umpe na majawabu ya...
  7. M

    Wanasiasa na mtaala wa elimu

    Kama Waziri anaona kuna umuhimu wa kubadili mtaala,anyway siyo mbaya sana. Lakini wadau wa elimu mfano WALIMU washirikishwe kwenye mabadiliko hayo ili nao watoe maoni yao. WALIMU WANA UMUHIMU. FIKIRIA WEWE UMETOKA WAPI!!!!!!!!
Back
Top Bottom