Kazi TAKUKURU

Kazi TAKUKURU

Nilimalizaa la saba 2002, leo nitakuta kweli cheti changu cha darasa la saba ??
Mkuu nenda usijali utapata kama hakuna watakupatia barua ya utambulisho kuonyesha ulisoma pale.
 
na sisi tusiokuwa na transcript ndio imekula kwetu au?
 
naomba kuuliza jamani hiyo transcript ni tofauti na statement of result? Ndo nimemaliza chuo mwaka huu kwa hiyo cjui. Na km sio huwa inatoka baada ya muda gani?
 
Bora ww umemaliza mwaka huo, mimi ndo kabsa nimemaliza Std vii 1994. Je?
 
naomba kuuliza jamani hiyo transcript ni tofauti na statement of result? Ndo nimemaliza chuo mwaka huu kwa hiyo cjui. Na km sio huwa inatoka baada ya muda gani?

Transcript ni tofaut na statement of result Mkuu,
Inategemea na utaratibu wa chuo ulichosema,lakin mara nyingi huwa zinatolewa immediately baada ya matokeo ya mwisho ya mtihan wa kuhitimu elimu yako ya juu,na matokeo yako yawe mazuri usiwe na supplementary.

Wishin you all the best.
 
Wengine hizo transcript ni mpaka baada ya graduation,sijui itakuaje sasa mwe!
 
naomba kuuliza jamani hiyo transcript ni tofauti na statement of result? Ndo nimemaliza chuo mwaka huu kwa hiyo cjui. Na km sio huwa inatoka baada ya muda gani?

Kuna tofauti kubwa kati ya transcrpt na statement of result mkuu.. kwa sisi wa 2013 naona hii ya investign officers haituhusu. cuz wanataka hadi gamba lenyewe!!!
 
Mkuu mpaka tarehe 21 utakua hujaipata trscprt

required qualificatns..
1. Degree/Advanced deploma Transcripts and certificates!! mkuu wewe unacho chet cha degree?? achilia hiyo transcrpt ambayo pengine wengine wanaweza wakawa nayo
 
required qualificatns..
1. Degree/Advanced deploma Transcripts and certificates!! mkuu wewe unacho chet cha degree?? achilia hiyo transcrpt ambayo pengine wengine wanaweza wakawa nayo

Mkuu mimi naaply ivo ivo bila cheti cha degree nikipata nitautafuta huu uzi kuja kukupa taharifa
 
Kuna tofauti kubwa kati ya transcrpt na statement of result mkuu.. kwa sisi wa 2013 naona hii ya investign officers haituhusu. cuz wanataka hadi gamba lenyewe!!!
Miminimemaliza chuo 2013, transcript ninayo, sema inategemeana na utaratibu wa chuo ulichosoma. kwa hiyo tunahusika mkuu wanataka transcript/certificate.
 
Cjajua chochote kuusu hiyo ajira. Ndugu mnisaidie wanaitaj vigezo gan. Manake hata tangazo nimeona nusu tu
 
Habari wakuu, naomba mnifahamishe mwenye kufahamu vigezo vya takukuru anifahamishe maake m cjui chochote.
 
Heshima mbele wakuu naambiwa kuwa TAKUKURU wame tangaza kazi kwenye daily news la leo mwenye taarifa tafadhali.

Wengine huku tuliko gazeti la leo tunasoma baada ya siku mbili.

@Lyandembele 1

Pale ukishatoa kitu kidogo unapata kazi mboya we nenda na bahasha ya khaki.
 
Back
Top Bottom