Mbinu ya kupigana vita ya hamas sio kuuwa wanajeshi bali ni kuuwa raia. sasa mbinu hiii ni ya kijinga sana huwezi kuuwa raia ukaacha wale wanau kupiga swala hapo ni hamas kubadili mbinu za vita badala ya kupiga raia washambulie wanajeshi tu sio vinginevyo. Na wasipo kubali kuwa ISRAEL ni...
Upuuzi unaofanywa na hawa ccm ndio unataka kukwamisha mchakato wa kupata katiba bora. Hii yoote ni jeuri itokanayo na ulevi wa kukaa madarakani sasa sisi tunasema hivi wapende wasipende taifa hili sio mali ya hawa mafisadi wenye hofu ya kushitakiwa pindi wakipigwa chini.
Pamoja na utajiri wa madini, misitu wanyama pori, gas na mengine mengi bado viongozi wetu wameendelea KUTUDHALILISHA KWA KUTEGEMEA MISAADA HATA YA NETI ZA MMBU.HALAFU TENA NETI HIZO HIZO WANAIBA KWELI MWAFRIKA ANA LAANA.
Ccm nia yao ni ovu hawataki kukubali rasimu ya warioba kwa kuwa haina maslahi kwa chama chao wapumbavu wa
kubwa hawa katiba iliyopo inasema wananchi ndio msingi wa mamlaka iweje wao wakatae kile wanachokitaka wananchi?
Hii ni serikali ya kipumbavu sana haipendi kuona wafadhili wanaifuatilia na ndio maana wanafanya usanii mkubwa kiasi hiki sasa wasubiri tu. Pia nawashauri wafadhili kusitisha misaada ya kibajeti tuone kama inaweza kutumia kodi za ndani pasina misaada ni upuuzi mkubwa zaidi pale ninapo ona eti...
Mwalimu nyerere alipata kusema kuwa serikali zenye kunuka rushwa hazikusanyi kodi hii sasa inadhihirika kuwa serikali ya ccm haikusanyi kodi hii imetokana na rushwa iliyotamalaki ndani ya serikali kwa kuwa wameamua kusamehe kodi kwa makusudi na kufuja kile kidogo kwa upuuzi. Lazima serikali...
Huuu ni sehemu ya upumbavu na ipuuuzi wa ccm kama kweli wanaenzi viongozi wa taifa hili warudishe kwanza azimio la arusha, nyumba za serikali mashirika ya umma na viwanda walivyo ziuza kihuni. Wapumbavu tu hawa haiwezekani kudai wanaenzi waasisi wa muungano wakati ni uhuni tu unaoendelea ndani...
Haya sasa kauli ya prof Lipumba aliyoitoa bungeni ina kosa lolote?haina kabisa huyu komba ni sehemu ya hao intarahamwe waliomo ndani ya jengo hilo la bunge ndio maaana tunasema ccm na wafuasi wao ni intarahamwe ni lazima wananchi tuwakatae hawa.
Mwaka 92 ni hawahawa ccm walisema wapinzani wataanzisha vita leo hii ni hawahawa wanasema eti s3 jeshi litapindua serikali, kwani hiyo ndiyo kazi ya jeshi? Kupindua serikali na huu ni muendelezo wa upuuzi wa ccm ili kuwaogopesha wananchi hawa ccm wanajoinakuwa wao ndio wenye hati ya kutawala...
Mwakyembe kwa sasa ni kama walivyo wajinga wengine ndani ya ccm wanaogopa s3 kwa kuwa maslahi ya ccm yanakufa kifo cha mende. kama baba yako alijenga nyumba ya nyasi sio dhambi wala matusi wewe ukimjengea nyumba ya kisasa. Sasa hawa wanafiki eti tuwaenzi wazee wetu ila ni hawahawa walio liua...
Mwakyembe anataka kukataa kauli yake kweli ccm ni kiboko anaogopa kuoza huku akitembea -------- sana huyu.pia ni mnafiki mno huyu kweli lissu asikielewe kitabu chake kwani kakiandika kwa lugha ya kinyakyusa? Aibu kwake na ccm nzima. Kazi ya kuondoa utawala wa intarahamwe madarakani bado ni ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.