hii kweli inashangaza jinsi fikra za watu wengi zimekuwa finyu! katika siku za hivi karibuni nimebahatika kuona watu wamebebelea makaratasi ya maombi kwenye daladala, si mbaya mtu kusali, lakini kilichonishangaza ni ile title ya maombi yenyewe "MAOMBI YA KUUKANA UKOO NA KUWA MTOTO WA YESU" daaah...
Daaaah! mmenikumbusha musoma tech! nilikuwepo kipindi cha mgomo uliomtoa preamble kwa kututetea na kusema ukweli halafu wakatuletea Muha mmoja hivi msanii balaaa! sisahau mutex upande wa pili wa uwanja tulikua tunakaa kuangalia madem wanaopita!
Daaah! kwa kweli kwa Aziz Alli na Madale kwa mtoto ni mbali sanaa! mbona hapo kuna shule nyingi tu nzuri ziko karibu kama Holy Cross ipo Mtoni Kijichi!
Vibali vyote vya kutumia maji ya chanzo flan (kisima, mto, ziwa etc) hutolewa na BONDE kwa hiyo unatakiwa kwanza upate kibali cha kutumia hicho kisima (Water User Permit) kutoka Bonde lakini aliye na mamlaka ya kusupply maji DSM ni DAWASCO kwa hiyo ingekuwa unatumia mwenyewe nyumban kwako...
Hata vyama vya wafanyakazi vimelala sana! nnachoona angalau kidogo kiko active ni CWT pekee vingine hivi vipo tu kufurahia makato ya uanachama yanayokatwa kwenye mishahara ya wanachama wao na havina mchango wowte! mm pia nipo mstari wa mbele kama ikiwezekana ntachangia hata kidogo gharama za...
Mimi ni mwalimu niko halimashauri ya wilaya ya Igunga-Tabora ninahitaji mwalimu idara ya elimu MSINGI wa kubadilishana nae ambaye yuko Arusha DC, Meru DC au Arusha jiji- Mkoa wa Arusha hata Monduli sio mbaya! naomba tuwasiliane kwa no. 0753 467 045 au 0686 008 950 ili tuanze hatua za awali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.