Recent content by mwambaja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

    Sikulaumu hata mimi ningetapeliwa pole sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

    Hivyo hivyo walisema na kuonyesha i phone zawadi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

    Yalinipata hayo 2015 maelezo hayo hayo ila yeye alisema yuko umoja wa mataifa anahudumia wakimbizi ataniletea zawadi afrika senegal na picha ya zawadi alibughi usafiri wa treni kati ya sengal na afrika mashariki generally ni matapeli wanakuvuta
  4. M

    JamiiForums Tanzania China evil plan for Africa revealed

    KWELI HATA KWENYE MAENEO YA KAZI WANAJIVUNIA SANA RUSHWA NA UMASKINI WA VIONGOZI WETU
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama hufanyi kitu hiki kimoja kila siku, una utapiamlo wa akili

    nakubaliana na hoja za jamaa hasa kizazi cha dot.com ambao hata hata historia za vijijini kwao hawajui
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ebu imulikeni kampuni ya S.T.E (substation engineering technology)

    hizo ziko nyingi za wazawa heri uachane nayo wakikulipa utapoteza muda bure miye yalisha nikuta
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tumia vizuri muda na rasilimali ulizonazo,hujui kesho yako itakuwaje

    hoja fikirishi sana na kweli
  8. M

    JamiiForums Tanzania College ya Afya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mbeya inajengwa sehemu gani?

    iko mji wa mbalizi barabara ya kwenda makongolosi kilometer 3-4 toka mbalizi upande wa kulia panakuwa na mnada wa mifugo
Back
Top Bottom