IPO siku magufuli atajitumbua naye mwenyewe,,hizi tumbuatumbua zake zimekuwa kero,,,yeye mbona anafanya maamuzi YAKE binafsi ambayo yanaliyumbisha taifa na watu wanamvumilia ,,asitafute umaarufu kwa kuwaonea waliochini
Mwadamu anaruhusiwa kumuuwa kwa ajili ya kuuza nyama apate fedha,nyama ya kula na nahitaji mengineyo,ila hairuhusiwi kumuua mnyama bila sababu ya msingi labda awe hatari kwa uhai wako,mharibifu WA mazao au muenezaji WA magonjwa,,ama mnyama huweza kumuwinda mnyama mwingine kwa ajili ya kula...
Wanyama wataulizwa ili kama kuna binadamu aliye mtendea mnyama uovu mfano kumuua bila sababu ya kumla,kumuuza,au mnyama mharibifu,au kuna mnyama aliyemuonea mnyama mwingine mungu atapitisha hukumu na kugawa haki kwa kila aliyeonewa

Wanyama na ndege na mimea wameandaliwa kwa ajili ya kutuwesha sisi tuishi katika hii dunia ,mfano mimea tunapata chakula na mavazi,wanyama tunapata chakula ,mavazi na usafiri,,
We nadhani mungu lbilisi anayewafundisha wazungu kutengeneza vitu vya muda hapa duniani na wakifa wanaviacha hapa hapa duniani na havitawasaidia huko mbiguni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.