Recent content by mwambadog

  1. mwambadog

    Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

    Acheni ubaili taasisi yenu itenge fungu ili mjihesabu mjijue mpo wangapi. Itawasaidia kujiendeleza Kama taasis. USIJIBANZE KWA SERIKALI IKUFANYIE KAZI MAANA SERIKARI HAIONI MASIRAI YAKE.
  2. mwambadog

    Hayati Rais Magufuli: Kiongozi wa mfano Karne ya 21

    Ila katangulia kunywa maji lala
  3. mwambadog

    Nkrumah, UDSM: Mjadala wa kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere; Dr. Bashiru na Mzee Lowassa waumana

    Mzee kapaniki na hayupo normal. Kidogo alie Kasahau hata maada hahahaaaaaa Ccm mbele kwa mbele bora liende
  4. mwambadog

    After MO Dewji who'll be next?

    Nothing to say.....
  5. mwambadog

    ATCL to break even by 2023

    it look even the term 'break even' to you is problem
  6. mwambadog

    ATCL to break even by 2023

    Its "shamba la bibi" everyone for his time. wonderful world
  7. mwambadog

    ATCL to break even by 2023

    Our constitution doesn't allow. "I meant its a total loss"
  8. mwambadog

    ATCL to break even by 2023

    if he does not break even by the time, who will be responsible?
  9. mwambadog

    Natafuta kazi ya kilimo

    nimependa signature yako, kila la heri mkuu
  10. mwambadog

    Value for Money: Je, upinzani una thamani ya jasho la Watanzania?

    lakini mkuu CHADEMA wamekaa kimya si mjenge nchi kwanini mnawachokonoa? au kazi za kufanya zimeisha mnatafuta njia za kuwa bize, sio poa bana
  11. mwambadog

    Mbunge Sugu, nakwambia ukweli, walikuongelea mara 2 tu!

    kweli uzalendo umenishinda. ulitaka aongerewe nini? wakati maamuzi ya kumuweka ndani yana utata na hakuna mtu yupo radhi kuyaongere. watu washindane na amri kutoka juu? be serious chief
  12. mwambadog

    Nimefuatilia maandiko ya Ansbert Ngurumo huko alikokwenda, nimesikitika sana

    mtoa maada jiulize maswali haya je nchi iliompokea hawakujilidhisha na madai yake mpaka wakampa hifadhi? mtu mweupe kichwani anakuwaje tatizo kwako si achana nae, au kinyume chake? personal attack haizibitishi umbumbumbu wake. je una record ya kazi zake za nyuma? wewe unaemchambua huyu bwana je...
  13. mwambadog

    Tofauti ya KKKT na Romani Katoliki katika dhana ya kisiasa na fedha

    Hayo yote hunisaifia kupata mazingira mazuri ya kuijua na kuishi imani katoriki. Asante kwa kuuliza
Back
Top Bottom