Recent content by Mwamba48

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bunge na Serikali msikubali kumhudumia mtu aliyejifanya hahitaji msaada wenu

    Namuonea huruma KASHILILA wa watu nasikia katumbuliwa kwa kutuma pesa NAIROBI kwenye matibabu ya LISU waliokatwa wabunge nusu ya posho
  2. M

    JamiiForums Tanzania NEC wapiga marufuku siasa kwenye kampeni za madiwani

    Yamezidiwa mpaka yanaomba msaada NEC. Maana kwenye mikutano yao ya kampeni hayana jipya zaidi ya kumshambula KOMANDO NYALANDU. wabongo sasa hivi wanajielewa. NYOMI kwenye kampeni za UKAWA. zimewatia HOFU maana mkulu na serikali take kachambuliwa kabaki mweupee.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa haina haiba ya kunywa juisi ya Ikulu, Siasa za Magufuli ni za level ya kimataifa!

    Sifa zote mnazompa watu HAWAMPENDI.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kama unataka siasa za ulaghai, nenda UKAWA

    Nimeangalia kwa makini mbona huyo muongeaji sio ZITO KABWE ?? Hata Saudi sio ya ZITO
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Zitto Kabwe ana tatizo zito kichwani

    Nasema hivii !! Kama MAGU atamteua MURO uteuzi wowote Siku hiyo hiyo nahama CCM. Hatuwezi kuteuliwa watu wa ajabu ajabu kama MURO. Yaani baada ya kuachwa na YANGA ndo anajifanya kada mzurii. Alikuwa wapi siku zote. Njaa imemshika ndo anajifanya muoneaji was CHAMA. NO aende huko huko kwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro Awaombea Rais Magufuli, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Yaani MAGU akimteua uteuzi wowote nahama CCM.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro umeshinda tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii Afrika mwaka 2017

    Mimi bado sielewi kwa mini wakenya bado huko ughaibuni wanatangaza kwamba mlimankiimanjaro upon kwao. Kwa nini serikali yetu haiutagazi kisawasawa kwamba huu mlima upo kwetu ? Watalii wanapokuja kuuona au kitaka kupanda mlima wanatua Kenya badae ndo wanaambiw mlima upo Tanzania mpaka wake...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Waziri Mwijage wamjibu Dangote: He is not aware with the pre existing laws!

    Tatizo letu wa Lumumba hua hatupendi kuambiwa ukweli. DANGOTE yupo sahihi haikua na haja ya kumtafutia majibu mareefu kinachotakiwa mkulu atafakari kauli ya DANGOTE. Kuna wawekezaji hawpendi kusema hadharani wanaongelea chini chini mwisho wa siku wanasepa na wanawaambia na wenzao kua BONGO sio issue
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Humphrey Polepole kung’ara kama ya Nape Nnauye

    Jamani mi naomba kujua UMRI wa pole pole. Maana nikimtazama hua ananchanganya coz sjui no mzee au kijana ?? Halafu ni kama anatumia dozi flani hivi coz ukimuangalia kwa makini afya take ni kama wale watu anaoishi kwa matumaini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa Maisha Papii Kocha atuma ujumbe kwa Rais Magufuli

    Sawa JPM kasikia. Je akitaka atubu kosa lake lililopelekea yeye kufungwa maisha ataweza? Maana anaomba msamaha bila kuweka wazi kosa lake wala kulijutia kama ikikua ni shetani au ibilisi. Kajieleza meengi bado hajasema kosa lake.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Na kama karogwa mchawi wake kisha kufa sasa Nazi anayo
  12. M

    JamiiForums Tanzania John Heche: IGP Sirro huna mamlaka na huwezi kunyamazisha Watanzania kujadili shambulio la kinyama alilofanyiwa Lissu

    Alitaka watanzania wamsaidie kumuonyesha aliemtolea nape bastola. Kaonyeshwa picha akiwa nae yeye na bashite mbona **** imemshuka mpaka leo hajajibu chochote wala kukanusha halafu anasema eti mjadala was KAMANDA LISU ufungwe hivi huyu IGP yupo sawa kweli???
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zake Jerry Muro wamkana

    JERI !! Dilaga wiza ?? Uli mola??kumbe JERI ni wa home kabisa!! Aah. Sasa hivi ukuu was mkoa huoo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: I'm a survivor like Daniel out of the lions... like Shadrak, Meshack and Abednego...

    MUNGU Hakutaka utuache na majonzi. Atakuchukua siku akitaka.yeye sio.wanadamu wenye ROHO mbaya eti kiss.BOMBERDIA
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ndumo ya Jerry Muro imejaa ngunja

    Muro njaa itakuua ndugu yetu.
Back
Top Bottom