Habarini wana Jf.
Shamba langu la Mifugo lina Mbuzi, kondoo, kuku, kanga, bata, Mbwa wa kisasa, njiwa na ngombe wawili ambao wanafugwa wakiwa ndani muda wote.
Lengo langu ni kuwa na wanyama wa kufugwa aina zote kwenye shamba langu, ili kuepuka magonjwa, wanyama wote wanafugwa pasipo...