Recent content by Mwalimu Nyumba

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanne wakamatwa Kenya kwa kusafirisha Malkia wa Siafu hai. 5,000 wakutwa kwenye mirija

    Huo Vietnamese kaingia mikono mibaya, tutegemee sasa yule bidada kubadilishwa na huyu wa kwao
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Geita yamtaka Mbunge Kanyasu aombe radhi vijana kwa kauli zake

    Vijana hawataki kuambiwa ukweli
  3. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

    Sasa hivi Tanzania Kila mtu anatoa tamko, Kila mtu anaitaka serikali ifanye hivi, ifanye vile yaani acha kabisa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

    Tutegemee kuona Rais akikonda au hata kufa Kwa njaa, Kamteua Janabi awe mshauri wa mambo ya Afya, soon atazuiliwa kula na kupata juu maana kutasababisha moyo utanuke
  5. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

    Wewe jamaa Unatumia Nini kufikiri, aliekwambia Mimi ni CCM na Mimi ni mtekaji ni nani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Watoza Ushuru wa magari makubwa Mpanda sio waaminifu, hawatoi risiti ila fedha wanapokea

    Hutasikia dereva akilalamika maana hapo dereva anakua anabarki na 20,000 katika Ile 50,000 Wanaolalamika ni hawa waombea wanaodhani kua MaPilato wa Halmashauri wanafaidika sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

    Mwenyewe anajiona ana akili sana, huu unaweza ukawa ni ushahidi tosha wa yeye kusota Lupango
  8. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Rufaa za CHADEMA Simiyu zagonga mwamba. Wagombea 200 waenguliwa

    Huku chama Kila siku ni malalamiko tu, hakuna siku itapita bila chama hiki kulalamika
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

    Nilienda Kwa rafiki angu (Jina kapuni) Ameleta ugali mezani tule nae kama tulivyozoea, Mama ake akauchukua kwenda kuutupa eti tutaumwa matumbo kisa last week pia walikula ugali. Hapo ndio nikaamini TRC watu wanalipwa vizuri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bunda na wengine 11 Wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Mgao haukuzingatia cheo, inaonekana Kuna waliotegemea kupata chochote kitu kwenye mgao ila wakanyimwa au walipewa tofauti na makubaliano
  11. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wanaoagiza Wanafunzi kuchota maji sehemu wanapotupa taka Ruvuma, waache hii tabia sio salama kiafya

    Wanajifanya wajuaji sana wa kukosa, wakipewa Madaraka wanatulia kimya hakuna Cha kulalamika Wala kuripoti changamoto
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Waandamanaji wachoma Moto kituo cha Polisi, Majengo ya Maafisa na Ofisi za Frelimo

    Wakishughulikiwa ipasavyo wataanza kutia huruma ili waonekane wanaonewa
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Leo ndio mara yangu ya kwanza kusikia kamanda akilalamika na kupiga Kelele "MNANIUA MNANIUA" Kipigo kinachomfanya kamanda Alie Kwa kuogopa kufa sio kipigo Cha kawaida
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari, Kazimbaya Makwega ashikiliwa na Polisi, asafirishwa kutoka Mwanza hadi Dodoma

    Nchi Ina uhuru sana wa kuzungumza, ila sio uhuru wa kiwango mnachotaka ninyi.
Back
Top Bottom