Recent content by Mwalimu Novath

  1. Mwalimu Novath

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mahakama kuhusu Kesi ya Tundu Lissu

    USHAURI WANGU KWA MAHAKAMA JUU YA KESI YA MHESHIMIWA TUNDU LISSU Mimi kama raia wa Tanzania ninayependa haki, amani, na utawala wa sheria, napenda kutoa ushauri wangu kwa heshima kwa Mahakama inayosikiliza kesi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu. Kama raia, natambua mamlaka ya Mahakama kama...
  2. Mwalimu Novath

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

    acha uchawa ustaarabu ni tabia sio sura na sauti ya upole
  3. Mwalimu Novath

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

    utaheshimu mamlaka isiyotenda haki?
  4. Mwalimu Novath

    JamiiForums Tanzania Ulifanywa nini ulipokamatwa unajenga bila kibali cha ujenzi?

    ameuliza faida ya kibali kwa nchi au ni upigaji tu
  5. Mwalimu Novath

    JamiiForums Tanzania Uanzishwaji wa taasisi ya kusaidia jamii

    bado niko kwenye hatua za mwanzo hatujawa na tovuti bado.lakini itakuwepo baada ya kukamilisha usajili
  6. Mwalimu Novath

    JamiiForums Tanzania Uanzishwaji wa taasisi ya kusaidia jamii

    Niko kwenye prosses za kusajili taasisi ya kusaidia jamii hasa wanafunzi na vijana walioko kwenye mazingira magumu. Taasisi hiyo itaitwa NOVA INUA ORGANIZATION (NIO) yenye lengo la kusomesha wanafunzi na kuwapatia mahitaji muhumu na kuendeleza ustawi wa jamii kwa kutoa elimu ya afya bora na...
Back
Top Bottom