Katika ilani yake mpya, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ahadi ya kujenga Maktaba ya Taifa mjini Dodoma na kuhuisha maktaba katika ngazi za mikoa na wilaya. Ibara ndogo ya V ya ilani hiyo inasema:
Kwa hatua hii ya kimkakati, tunapenda kuipongeza serikali inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt.Samia...
Katika ilani yake mpya, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ahadi ya kujenga Maktaba ya Taifa mjini Dodoma na kuhuisha maktaba katika ngazi za mikoa na wilaya. Ibara ndogo ya V ya ilani hiyo inasema:
Kwa hatua hii ya kimkakati, tunapenda kuipongeza serikali inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt.Samia...
Katika historia ya vyama vya upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejipambanua kama sauti mbadala ya kisiasa. Hata hivyo, miaka ya hivi karibuni imeonesha mwelekeo unaotia shaka: chama hiki kimegeuka kuwa jukwaa la kila anayepinga serikali—bila kujali dhamira...
Ni huduma sahihi. Kwakuwa haujajibu basi niwe positive kudhani pengine Kanisa linafikiria kuanzisha catering service hivyo wanahitaji kujua dini za wateja wao ili kuona nguruwe wangapi waandaliwe kwa ratio ya Waislamu na Wakristo.
Sijatafsiri udini mkuu. Nashukuru kwa jibu lako. Je waonaje sensa ya nchi ikahusisha dini ili kusaidia kila mwenye lengo la kukusanya taarifa za kidemografia kwakuwa imeonekana hilo ni jambo muhimu.
Salaam wanajamvi!
Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni.
Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa...
Salaam wanajamvi!
Bila kuleta porojo nawapeleka kwenye kiini cha bandiko langu mubashara!
Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na barua yenye saini ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bwn. John Mnyika kwenda kwa makatibu wa Kanda, CHADEMA, inayotoa maelekezo kwa makatibu wote kukusanya pesa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.