Recent content by Mwaliga

  1. M

    Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya Kiswahili na History

    Wewe naye ni janga kubwa tu katika elimu! Hivi kwa akili zako unadhani GS haina walimu special kwa somo hilo? Watu waliosoma Political science kama somo la kufundishia unafikiri ni mahususi kwa somo gani?
  2. M

    Uchaguzi Tanganyika Law Society(TLS) wapingwa mahakamani

    Akili zako na za Bashite hazina tofauti
  3. M

    Mtumishi anaevaa sare za chama akiwa ofisini na mtu anaendesha vikao vya chama Ikulu, wana tofauti?

    Pamoja na kuwa ni makazi pia ya rais, alipaswa kuendesha vikao nje ya muda wa kazi! Rais ameendesha kikao cha chama ndani ya muda wa kazi jambo ambalo ni kosa
  4. M

    Moses Machali aamua kurejea CCM. Adai CCM ya Magufuli si CCM ya zamani!

    Sasa CHADEMA na CUF vinahusika vipi na habari ya Machali
  5. M

    Ilikuwaje ukawa mshabiki wa Simba au Yanga?

    Lunyamila wa simba alikuwa jua la jioni! Namaanisha alikuwa anaelekea mwisho wa carrier yake
  6. M

    Taasisi ya Urais iheshimiwe

    Respect is a double edged sword! Huwezi sema taasisi ya urais iheshimike wakati yenyewe haiheshimu watu, hiyo taasisi ndio bingwa wa uchochezi! Ukiheshimu utaheshimiwa otherwise dawa ya moto ni moto
  7. M

    Magic FM: Rais asifikirie Wananchi watafuata sheria wakati yeye mwenyewe anazivunja sheria

    Mkuu kama ulikuwa kichwani kwa Nape! Tayari ameshafanya yake
  8. M

    Rais Magufuli: Serikali haitotoa chakula cha msaada kwa watakaokumbwa na njaa

    Alichonisikitisha zaidi ni pale aliposema na mfe tu maana si hamtaki kufanya kazi. Nashauri awe anarudia kusikiliza alichosema ili atambue ni wapi alipokosea
  9. M

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella azomewa mbele ya Rais Magufuli

    Acheni ubishi wa kijinga, nilihudhuria mkutano huo, alichosema Mongela ndio hicho cha tani nane lkn wamefanikiwa kuvuna tani saba sawa na 93%,ndio ikawa turning point ya wananchi kuzomea
  10. M

    "Mtukufu Rais kesho tumbua DC na DED wa Sengerema"

    Siamini kama nimetoa kejeli hapo, kwani neno Mtukufu ni la kawaida na anaitwa na wengi tu tena hadharani na hawajawahi kushtakiwa wala kuhojiwa kwa kumuita Mtukufu lakini ukimuita dikteta uchwara ni balaa,unapelekwa kisutu kwa uchochezi
  11. M

    "Mtukufu Rais kesho tumbua DC na DED wa Sengerema"

    Amefika na kutoa hotuba ileile iliyozoeleka ya kutafuta umaarufu uchwara! Kwa namna hiyo hata akeshe anapiga kelele kuwa tumuombee mm binafsi sitakuwa na muda huo
  12. M

    "Mtukufu Rais kesho tumbua DC na DED wa Sengerema"

    Mwenge unachochea zinaa tu, kila unapokesha kondom hugawiwa kwa wingi
  13. M

    "Mtukufu Rais kesho tumbua DC na DED wa Sengerema"

    Watu kama nyinyi ndio mnakwamisha kuifikia Tanzania ya viwanda
Back
Top Bottom