Kesho mh rais atakuwa wilayani Sengerema kwa ziara ya kikazi, ninamuomba ili kufuta dhana ya udikteta uchwara awawajibishe viongozi tajwa hapo juu kwa kutoa matangazo ya kulazimisha watumishi kuhudhuria mkesha wa mbio za mwenge kinyume na sheria!
Pia namuomba atoe maelekezo ya kuwalipa night watumishi wote waliohudhuria kwenye mkesha na kusaini kwenye madaftari ya mahudhurio, kwa kufanya hivyo utaondoa manung'uniko miongoni mwa watumishi na kuondoa kabisa tabia ya viongozi kukurupuka na kutoa matamko na amri za kifedhuli dhidi ya tabaka nyonge la wafanyakazi!
Nawasilisha