Recent content by mwali wa giningi

  1. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la Mashati ya shule (Tomato)

    Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda tufanye biashara
  2. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

    Acheni woga nyie wanaume!!!!!
  3. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la mashati ya kike

    Shukran
  4. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la mashati ya kike

    Ninauza jumla hata hivyo Mkuu. Pc moja kwa small ni tsh. 6,000 na kubwa kwa maana ya large ni tsh 8,000 kwa pc. Na ninauza kuanzia dozen 5, yaani pc 60.
  5. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la mashati ya kike

    Sijafanya bado
  6. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la mashati ya kike

    Sample zake ni hizo hapo.
  7. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la mashati ya kike

    Wakuu poleni na majukumu. Mimi ni mjasiriamali mdogo niliyejikita katika mradi wa ushonaji. Kimsingi huwa nauza mashati ya shule, nashona kwa oda kwenye shule zinazohitaji na kipindi cha msimu huwa nawauzia mawakala wa Kariakoo. Kwa sasa nimeanza kushona mashati ya kike ya color combo...
  8. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa

    Shamba linauzwa. Lipo eneo la Kiguza Mkuranga, Kilometa mbili kutoka barabara kuu. Linafaa kwa kilimo na makazi pia. Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0717 030636
  9. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nafanyaje kupata Mkopo?

    Nawezaje kupata mkopo benki kwa kutumia hati ya urithi naomba maelekezo, kwa mwenye uelewa
  10. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Kama anaweza kupata dereva wazuri anunue pikipiki aongezee kama laki nne anunue pikipiki 2. Aingie mkataba na dereva kwa miezi kumi awe anamletea 10,000 kila siku. Ikifika miezi hiyo pikipiki inakuwa ya dereva. hadi itakapofika miezi kumi atakuwa ameingiza pesa ya pikipiki mbili kwa kila...
  11. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

    Remtulah Unamaanisha Ally au
  12. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

    Me napenda biashara ya ushonaji. Unaweza kuanzisha kiwanda kidogo na ukadesign nguo ukazitia sokoni
  13. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Amina hadi leo sijajua kilichokufanya unilipe hili

    Duh mtihani , lakini tuseme Amina Inshaalah!
Back
Top Bottom