Shamba linauzwa

Nov 14, 2013
67
42
Shamba linauzwa. Lipo eneo la Kiguza Mkuranga, Kilometa mbili kutoka barabara kuu. Linafaa kwa kilimo na makazi pia. Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0717 030636
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom