Recent content by Mwalablack

  1. Mwalablack

    Sijawahi kufanya mapenzi sababu nawaogopa sana wanawake

    Hongera ila jifunze kutopenda pia maana utakuja kuumizwa ukijakupenda na ndipo utakunywa sumu maana hauyajui machungu yake . Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  2. Mwalablack

    P-Funk naye aishukia Clouds FM

    Naamini utakuwa na matatizo ya akili labda kama kuna daktari wa akili humu tujaribu kukupima mi ntakulipia gharama . Kama hujui muziki sio lazima kuongelea issue usioijua. Au unataka kufahamika ? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  3. Mwalablack

    Mtwara leo watakataa gesi isitoke kesho watakataa Watanzania wanufaike na gesi, hatari iko mbele

    Wote mnaobishana kuhusu huyo jamaa mmekaa ndani majumbani kwenu hata mmoja wenu hayupo eneo la tukio na mtwara mnapasikia tuu siwezi kuwashangaa kwa 7bu mjinga hufanya anachokiambiwa bila kujua madhara yake mi naishi na wamakonde nawajua wana tabia gani so lisemwalo lipo kama halipo laja kila...
  4. Mwalablack

    Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

    Tanzania nzima TBC 1 haionekani mpaka kwa satelite usije sema ni mtwara kwa 7bu ya badget unakosea ila kama umefanikiwa kuwa na king'amuzi umeona badgeti iko poa na wala sina tatizo nayo kama itafanikishwa kwa yaliyosemwa na waziri. Ila TBC kukatisha matangazo ni nchi nzima sio kusini pekee jarb...
  5. Mwalablack

    Mabibi harusi zamani walikuwa wanalia... Ila siku hizi macho kodo!!!

    Siku hizi hawaliii si kamchezo washakazoea ukizingatia kila aina ashakumbana nayo atalia nini sasa Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  6. Mwalablack

    PICHA: Polisi mstaafu alivyomcharanga mapanga mwanae wa miaka 4!

    Ukatili huu umepitiliza Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  7. Mwalablack

    Wanaume Wasiojua Kutongoza na Wanawake Wasiojua Kupendwa ni Mtihani kwa Watu Wengi!!!!!!!!!

    Duh !!!!!!!! Ama kweli midomo zege kazi tunayooo jamaa anakosa vinono hivi hivi ila kama anafaa muonee huruma maana wa type hiyo tupo wengi sasa unadhani yeye atampata nani kama pesa haitachukua mkondo na akijua wanapojiuza ndio kwisha habari Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  8. Mwalablack

    Hali ya Mtwara mchana huu

    Ni muda wa kila mmoja wetu kuamka na kusimama kuitetea mali yake ili sote tuugawane umasikini huu sio wachache tuu ndio waufaidi kama ilivyokuwa kule kilwa Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Back
Top Bottom