Recent content by mwakizega

  1. mwakizega

    INAUZWA Bajaji inauzwa kwa Ofa ya kufungia Mwaka

    Unaweza kunicheki DM tuyajenge kama vipi kiongozi
  2. mwakizega

    Nahitaji kiwanja wilaya ya kigamboni, mitaa ya kibugumo, geza na mwongozo

    Ninapafahamu Mwasonga. Ninapendelea zaidi maeneo niliyoyataja kiongozi
  3. mwakizega

    Nahitaji kiwanja wilaya ya kigamboni, mitaa ya kibugumo, geza na mwongozo

    Salam wakuu....natafuta kiwanja maeneo ya Kigamboni kuanzia Kibugumo, Gezaulole na Mwongozo ila kiwe njiani na isiwe ndani ndani. I mean isizidi 2 km kutoka barabara kuu. Sio ndani. Ukubwa SQM kuanzia 800. Offer yangu ni 3mln hadi 5mln kutegemea na eneo. Mimi sio dalali ila ni muhitaji mwenyewe
  4. mwakizega

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    .. .... ... ..em.. .. .... .... 0 [emoji123][emoji123] . . [emoji542] .... .....[emoji3486](*๓´╰╯`๓)♡ [emoji985]
  5. mwakizega

    Msaada wa ku-recover data zilizofutwa

    Salam Wakuu, Kwa yeyote mwenye ujuzi wa ku-recover data zilizofutwa kwenye LAPTOP naomba anicheki kwa 0784132525. Nilifuta taarifa mwezi FEBRUARY 2020 kuhamishia kwenye PC nyingine na bahati mbaya hio PC imeibwa juzi Ukifanikiwa utaniambia kiasi cha kukulipa
  6. mwakizega

    INAUZWA Bajaji mpya iliyosajiliwa inauzwa million 6

    Kama haijauzwa nicheki kwa DM tuyajenge
  7. mwakizega

    Bei ya pipa la mafuta ghafi nchini Marekani yashuka na kufikia chini ya $0

    Watahifadhi wapi wakati hifadhi zimejaa? Hakuna watumiaji baada ya lockdown, magari yame-pack, viwanda vimefungwa n.k. Lakini pia visima vinaendelea kuzalisha mafuta kwa sababu gharama za kusimamisha uzalisha wa mafuta ni kubwa kuliko kuendelea kuzalisha. Chanzo cha habari hapo ni gazeti la...
  8. mwakizega

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Vipi umeshaiuza hii OPPO
  9. mwakizega

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sjui hii game tumekosea wapi manake hata ile flow yetu ya siku zote haipo kabisa
  10. mwakizega

    Mimi ni Fundi Ujenzi mzoefu nahitaji kazi.

    Nicheki kwa 0784132525 kesho Jumamosi tarehe 11.05.2019 kabla ya saa 5 asubuhi
  11. mwakizega

    SOFTWARE NAHITAJI PROGRAM/SOFTWARE YA KUCHAKATA MATOKEO YA MITIHANI

    Salamu wakuu. Kwa yeyote mwenye ujuzi wa kutengeneza/kuandika software/program ya kuchakata matokeo ya mitihani kwa idadi ya wanafunzi kuanzia 15000 hadi 25000 ninaihitaji. Mahitaji na vitu ninavyovitaka kujumuishwa katika software hiyo tunaweza kukaa tukakubaliana kwa pamoja au ukaja na...
  12. mwakizega

    Aliishiwa na nguo za kuvaa, aliamua kwenda kazini akiwa amevaa gauni la mkewe.

    Na hicho kipochi kidogo nacho ni kwa sasabu kipochi chake hakikufuliwa akaamua kubeba cha mkewe? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mwakizega

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Shukran. Nitaleta mrejesho Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mwakizega

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Salam wakuu. Naomba msaada wa application ninayoweza kuitumia kudownload youtube videos katika IPAD Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom