Recent content by Mwakisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa na girl friend lakini sipati

    pole sana kaka, mi nadhan endelea kutafuta utapata tu,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wadau Nisaidieni Kufahamu Elimu Ya Komba

    kaka utafiti wako una ukwel ndan yake, coz hata jana wabunge walipokuwa wakichagua wajumbe wa sadc, nligundua hata lugha ya kigen ilikuwa haipandi kwa baadh ya wabunge.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wadau Nisaidieni Kufahamu Elimu Ya Komba

    hapana ni kama elimu ya profesa maji mafupi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wadau Nisaidieni Kufahamu Elimu Ya Komba

    mi nahic ameishia had darasa la pili, ndio maana uwezo wake wa kufikir umekuwa mdogo, ye alijua bungen wanaenda kuimba.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Busara zaidi sio nguvu

    sio kila mla cha mwenzie na chake huliwa, unaweza kula cha mwenzio na chako kisiliwe, kwan inategemeana na hicho chako kina akili gan ya kufikiria. umeisoma hyo hata kimya kimya.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Busara zaidi sio nguvu

    sio kila kitu, kwa hyo hata dem wako mzuri unaweza kula kula na nduguyo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kuvuta bange!

    kaka hcho kitu hakiwez kukupeleka dunia nyingine kama unavyodhan eti kitakupunguzia stres, zaidi yate utajkuta unaongeza matatizo mara 2 ya yale uliyo kuwa nayo. hebu huyo aliye kushaur mwangalie yupo ktk hali gan kama sio anackitisha tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi mwenye uzoefu na kazi hii.

    da hata kwangu hii ni mpya kwamba wafungua vizibo weng wanatoka shinyanga, hii inafurahisha ila kwa wanaotoka mkoa huo kidogo inakera
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi mwenye uzoefu na kazi hii.

    ukiwataka wazoefu itachukua muda sana kuwapata, kwa ushaur usiweke kigezo cha uzoefu. kwa sababu kufungua vizibo sio kaz inayo itaji uzoefu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    mi nadhan hakuna uhusiano kati ya uwezo wa kufaulu wa mwanafunz na kufanywa kwa migomo. hata hvyo kinacho jadiliwa ni kushukwa kwa elimu ktk shule za sekondari na sio vyuon. kwa hyo sababu hyo haina mashiko.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    ni kwel huko ni kuchezea pesa za walipa kodi, kwan nmegundua kitu kuwa hakuna uhusiano kat ya uwezo wa kufikiri na kuwa kiongozi, ndio maana mambo haya yanatokea. mi nadhan tubadlike coz nothing u can do without confidence.
Back
Top Bottom