Kujiokoa na nyuki hatua ya kwanza funika uso wako , kwa sababu nyuki sehemu ya kwanza anataka kugonga uso wako , ya pili lala chini kifudifudi . Hii ya kulala chini iliniokoa na kundi kubwa la nyuki na nililala chini ya kamti kadogo , nao wakajiwekea makazi yao hapo ilikuwa mida ya jioni...
Iwashe kwanza na baada ya kuunguruma kwa muda mfupi ifunge mafuta , lakini uiache ikiunguruma mpaka mafuta yaishe kwenye kabureta na itazima , unafanya hivyo kwa sababu mafuta yakiwapo kwenye kabureta yatasababisha jet za mafuta kuziba. Baada ya hapo fungua terminal ya -ve ya battery ya pikipiki...
Ushuhuda, JituMirabaMinne kafanikiwa kunirekebishia gari langu lilikuwa linakunywa mafuta na mimi sikujua tatizo ni nini. Nilipeleka kwake Jmosi akalicheck ikaonekana sensor moja ina tatizo . Baada ya kuweka nyingine , kwa kweli gari langu sasa linanusa tu mafuta . Ahsante sana fundi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.