Noah inauzwa 7.5mil

Noah inauzwa 7.5mil

acha dharau wewe, kama anataka kujazia.?

Tatizo kubwa la hapa ni kudharauliana kwa sababu hatujuani wala kuonana kwa hiyo kila mwenye bundle anajionea Sawa tu kujibu anavyojisikia.
Jukwaa limekosa sana nidhamu mpaka najiuliza moderators wanafanyaga kazi gani Kama wanaonaga haya mambo?
 
Mkuu, haina tatizo ndio maana unaruhusiwa kuja na fundi wako kuja kukagua na kufanya testing yoyote
Mkuu yule mnunuzi wa hapo morogoro kaingia Chaka simpati maana nilitaka aje hapo aicheki
 
Wakuu, kutokana na demand ya hela niliyokuwa nayo, mzigo nimeupunguza bei....kwa aliye serious anicheki pm tudiscus biashara
 
Tatizo kubwa la hapa ni kudharauliana kwa sababu hatujuani wala kuonana kwa hiyo kila mwenye bundle anajionea Sawa tu kujibu anavyojisikia.
Jukwaa limekosa sana nidhamu mpaka najiuliza moderators wanafanyaga kazi gani Kama wanaonaga haya mambo?
Hao wanakuwaga watoto wadogo nishawashtukia mkuu...sema ndy tuko nao humu
 
Acha fix wewe kwa ajila ipi uliyonayo upate mshahara wa amount hiyo kwa mwezi?

Ndugu upo dunia ya ngapi? mbona ni mishahara ya kawaida kabisa hiyo kwenye private sector. Uliza mishahara ya kwenye makampuni ya gas, exploration, mining
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom