Ni kweli inauma sana, ilikuwa sio rahisi kupona kutokana na shoka alilopigwa upande wa nyuma ya shingo ambopo ni sehemu iliyo na mishipa mingi ya fahamu, so ni mauaji yaliyopangwa.
Amini usiamini ukweli ndio huo, tukio limetokea mchana na ni hapa mjini katoro kama ulishafika, kituo cha polisi kipo jirani sana, hadi sasa hakuna aliyekamatwa kwa tukio hilo.
Sio rahisi kama mnavyodhani bcz umbali wa eneo la tukio na kituo cha polisi haizidi km 1 but hakuna hata polisi mmoja aliyethubutu kusogea pia kapelekwa hospitali too late almost 4 hrs baada ya tukio, inauma sana kwa sisi tulioko huku geita.
Huu ni ukatili wa hali ya juu sana, tuzidi kuomba kwa Mungu pawepo na maridhiano ya amani, bcz verified detail, aliyepo juu ni Mtu wa Visasi na amepromis kupoteza wengi, so huu ni utangulizi tu, picha yenyewe bado.
wako sahihi, tukijisahau kwenda na kalamu zetu pamoja na kukunja karatasi kwa nje, Watashinda, bcz karatasi hizo za kura zimetengenezwa south, kwa advanced technology.
Thanx 4 notification.
Inatisha Sana, yatupasa kuomba rehema kwa Muumba, yamkini atuepushe na hayo bcz yeye ni mwingi wa rehema na anatuwazia mawazo ya amani.
Sisi sote ni ndugu, poleni sana kwa tukio hili.
Ndio maana wanajigamba majukwaani kuwa watashinda kwa kishindo,
Ona sasa Mungu Kawaumbua,
kumbe wana kura mln 6 za kwao, hiki chama kina uzoefu wa kupora haki za watanzania kwa muda mrefu sana, hawaoni shida kuiba haki ya watanzania kumchagua wanae mtaka.
Naona harakati za kumtoa mkoloni...
Ipinda Ni Sehemu Ya Kyela Ni Centre Inayokua Kwa Kasi, Inapatikana Njia Ya Kuelekea Matema Beach, Au Masoko Tukuyu( Rungwe) Ni Vyema Kufika Bcz Population Inaruhusu Ushindi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.