Recent content by mwakani naolewa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

    Labda mshahara wa dhambi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda sana kusifiwa

    lazima tusifiwe sisi ni maua jamani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi Jumuiya ya Amani watoa tamko sakata la muaji, ukatili na watu kutekwa

    Yote mliyosema yanawezekana. inawekana ikawa ni kweli CCM vilevile inawezekana isiwe kweli. Hao Chadema wenyewe wanawaweza wakawa nyuma ya huu mpango mzima kuichafua CCM
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo Wa "Muuaji Samia Must Go" Je, ni ishara kwamba Demokrasia imekua nchini?

    Tanzania inaelekea kubaya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa miaka 18 - 30

    hela unazo?? au unataka tuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Tunahukumiwa kifo kwa kuikosoa serikali ya Tanzania

    Hofu ya kutekwa na kupotezwa imeendelea kwa miongoni mwa baadhi ya wanaharakati na waandishi wa habari wa Tanzania wakiripoti kupokea kupokea jumbe za vitisho na tahadhari nchini kwao. Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Tito magoti na Mtangazaji ROlandMabala wote walidai kupokea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwanafunzi adaiwa kumuua mwenzake wakibishana umri

    yani umri ni kitu cha kugombana. siwangekuja niwape yangu jamaniii
  8. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanamke afariki wakati anatoa mimba ya miezi sita

    Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri 39 anayefahamika kwa majina Airini au mama QUEEN amekutwa amefariki nyumbani kwake katika chumba anachoishi lakini pembeni kukiwa na kichanga kinachokadiriwa kuwa na miezi 6 . Tukio hilo limetokea mtaa wa kambi ya chupa halmashauri ya jiji la Arusha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gamondi hamna kitu ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!

    kua wewe kocha ........msiiiiiiiiiium ustuchanganye apaaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu watanzania 5 walioiteka ndege ya Tanzania wakitaka Nyerere ajiuzulu

    mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa kipindi hicho uwanja wa ndege wa Mwanza ulikua hauna ulinzi kwahiyo hao jamaa watano walikuwemo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa waschana wafanyabiashara, wajasiriamali,au wafanyakazi.

    Kwa wanawake wote wajasiriamali wafanyabiashara na wengine walojipata ,mwanaume yeyote akija kukufata kukutongoza ukamuelewa ukaona kabisa maisha yako yanakwenda kubadilika kupitia huyo mwanaume, ukaona kabisa huyu ni mwanaume wa ndoto zako, ukaona unayo ahidiwa ni mengiii na makubwaa. Naomba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PDidy amesettle na Cassie kwenye kesi ya kumuingilia bila ridhaa yake na kumpiga

    Tutafteni pesa, kama tunavojua hapo nyuma PDidy alishtakiwa na Cassie kwa kumuingilia kimwili bila ridhaa yake na kumpiga (sexual abuse, physical abuse,) na kutokana na hiyo kesi Cassie alikuwa anataka kulipwa dola milioni thelathini(pesa nyingi sana) lakini sasa inasemekana PDidy na Cassie wame...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Sio polisi tu wanabeba silaha, hata majambazi

    Mfanyabiashara mashuhuri Azim Dewji ametoa msimamo wa kamati ya maridhiano na amani kufuatia kutekwa na kuuwawa kwa kiongozi wa CHADEMA Mohammed Ali Kibao ambapo amesema, wanalaani vikali kitendo cha mauaji ya kiongozi huyo na wanaungana na Rais Samia Suluhu Hassan kuundwa kwa tume huru...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

    hii itaondoka na wengi sana watu wawe makini sana jamani. kwasababu aliyechonga njama aliyesababisha upatikanaji wa silaha aliyetenda aliyejua na akanyamaza, aliyeshiriki kwa mawazo, akili, matendo au namna yoyote ile itaondoka nae.
Back
Top Bottom