Recent content by Mwakamele 16

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mliowahi ku-date/kuoa/kuolewa na wazungu let's share changamoto mlizokutana nazo. Au ni kama wabongo tu?

    Kuna brother wangu aliwahi kuoa m Sweden. Changamoto aliyo ipata ni kwamba yule mzungu alifariki #Ova
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA(Taifa) na Mwenyekiti BAVICHA(Taifa) ni mizigo kwa chama, waondolewe haraka

    Kwani huyu wa CCM tangu Jiwe lilipo ingia madarakani amesaidia nini Chama zaidi ya kupiga kimya?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeweka salio sh 1, 000 kwenye simu ajabu nimeamka imebaki 852

    Kuweka vocha bila kuzima data hakujawahi kuacha salio salama [emoji23]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bandarini: TRA kupiga mnada makontena 20 ya Paul Makonda kwa kushindwa kulipa kodi

    Nitahama nchi kama zikipigwa mnada hizo mali labda kama sio Paul Makonda mheshimiwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Ungemfukuzia halafu ungempa Kerb moja huyo dereva ili iwe fundisho kwa madereva wengine
  6. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwandishi wa habari atekwa ateswa kisha kupigwa picha za uchi

    Huyo nae atakuwa amejiteka kama Abdul Nondo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

    Wengine hata baiskeli ni empty. Life is not fair
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

    Ilikuwaje kwani? Kijana alimuomba nauli?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. John Magufuli kuwakabidhi Kombe Mabingwa wa VPL Simba SC

    Hii habari sio nzuri kwa Yanga
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Je, umeolewa ukiwa bikira au umeoa mwanamke bikira?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Je, umeolewa ukiwa bikira au umeoa mwanamke bikira?

    Unazungumzia bikira ya wapi kwanza?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: VPL, Singida United Vs Simba SC Namfua Stadium

    Shindwa Pepo
Back
Top Bottom