Mkoloni ni mkoloni tu, hajawahi kubadirika. Kazi kwao wanaomkumbatia aliyepora ardhi yao ya Amerika na sasa anataka vilivyopo ndani ya ardhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa la Venezuela lilianza kujengwa kwa misingi ya Ujamaa tangu kipindi cha Huko Chavez. Misingi ambayo Hugo Chavez aliiamini ni kwamba, Uchumi wa Venezuela lazima uwanufaishe watu wote. Kikubwa hapa ndugu yangu unachotakiwa kuelewa ni kwamba hata unapo barikiwa kupata mtoto lazima atapitia...
1: Asante Mheshimiwa mimi punguani, bring your evidence and I will bring mine too.
2: - Naomba uileze public ni akina nani walioushikilia mji wa Idlib?
- How?
- Why?
3: Naomba uileze public ni akina nani walio nyuma ya mchezo mchafu wa chemical attack as a pretex and who support...
Hiyo nchi Marekani anataka kuweka kibaraka wake. Watu(Makundi anayoyaunga mkono) ni Hayat Tahrir Al Sham na Al Nusra Front ndani ya mji wa IDLIB ambayo yanauhusiano mkubwa na kundi la kigaidi kongwe kwa jina ni AL-QAEDA.
1: Kuanguka kwa Bashar AL Assad tafsiri yake ni kwamba kibaraka wa...
Siria mambo bado magumu, kwa hali inavyoendelea hivi sasa tena kwa kuzingatia kauli za USA National Security Adviser Mr. JoBo na pata tabu sana kuamini vita vimeisha. Hawa jamaa(USA na washirika wake) nadhani walikimbia ili kwenda kujipanga baada ya mambo kuwa maji ya shingo.
Sent using Jamii...
"Wataalamu wa kigeni wamewasili nchini Siria kwa kutekeleza shambulizi la kemikali kwa kutumia Chlorine", Wizara ya ulinzi ya Urusi. Wizara hiyo imetahadharisha kwamba shambulizi hilo linaweza kufanyika ndani ya siku mbili.
Msemaji wa Wizara ya ulinzi ya Urusi Meja Jenero Igor Konashenkov...
Mkuu pointi ya Malignant Tumor uliyoijibu inamaana sana, naomba uniamini Uturuki ili awesalama zaidi kwa hali ya sasa ana namna tatu za kufanya :-
1:Aendelee kuwa mwanachama wa NATO kwasababu hakuna mwanachama wa NATO anayeruhusiwa kumshambulia mwanachama mwenzake kivita.
2:Awe mwanachama wa...
Marekani na washirika wake wanaandaa mashambulizi mapya ya anga dhidi ya Siria, Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema. Wizara hiyo ya Urusi imesema wanamgambo wapotiari kwa shambulizi hilo la kemikali lengo ni kuichafua serikali ya Siria na kuwa sababu ya Marekani kufanya mashambulizi ya anga...
Kwa kifupi kabisa hata usiumize kichwa mkuu, sababu ni moja tu :-
Urusi ni taifa lililojengwa na watu wa asili hiyo ya Urusi lakini Marekani ni taifa la kutengeneza(Wahamiaji).
Fahamu watu wa asili wa taifa la Marekani ni Red Indies, hakuna uzalendo wa kweli ndani ya taifa la Marekani. Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.