Recent content by Mwakajila kennedy

  1. M

    Political Reformantion due to Protestant

    In this simple paper I will discuss the foundation of reformation and you are supposed to reflect this into political situation.The word reformation historically began during 16th century, movement which began with the effort to reform the church. This gained the momentum following the...
  2. M

    Paradigm/ mtazamo juu ya kamati ya pinda juu ya kufeli kwa wanafunzi 2012

    Nduguzangu walimu wenzangu. kama mitihani waliyo feli wanafunzi anapewa mwalimu aifanye ili kupima VALIDITY AND RELIABILITY na akifeli tuna conclude kuwa mitihani ilikuwa invalid and not reliable. Tujiulize kwa ujumla wetu watanzania wote Tanzania miaka hamsini iliyopita uchumi wetu ulikuwa sawa...
  3. M

    Mjadala wa mama mjamzito aliyeuawa kwa kupigwa risasi waibuka baina ya Polisi na Waganga

    Daaa! awa polisi jamani, hivi walizaliwa na mwanamke kama binadamu wengine au.? Nashindwa kupata picha kwani mambo yao wanafanya kazi kama vile misukule, bosi akisema hakuna kuhoji au kutumia akili.
  4. M

    IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    Ndugu wana jf. Kulingana na vurugu cha machinga zilozo tokea, Mwanza, Mbeya na sasa Iringa ninajiuliza maswali mengi lakini kubwa ni je machinga hawa wangekuwa na mabomu wangechoma matairi barabarani ya kuyalipuwa mabom? Wangekuwa na Bunduki wangerusha mawe badala ya risasi. Kwanini viongozi...
  5. M

    IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    Ndugu wana jf. Kulingana na vurugu za machinga zilozo tokea, Tunisia. Mwanza, Mbeya na sasa Iringa ninajiuliza maswali mengi lakini kubwa ni je machinga hawa wangekuwa na mabomu wangechoma matairi barabarani badala ya kuyalipuwa mabom? Wangekuwa na Bunduki wangerusha mawe badala ya risasi...
  6. M

    Pro.Mukandala na Dr. Ndalichako,nasubiri kujiuzuru kwenu

    Daaaa!. Halizaidi nguvuzaidi kasi zaidi na balaa zaidi.
  7. M

    Kawambwa akacha bunge ili kuchakachua matokeo: Akwaa kisiki kizito NECTA

    Prof. Mkandala na Ndalichako endelezeni msimamo hata mkikutana na Jakaya k. MKANDALA naomba uwe na msimamo japokuwa jk ni swaiba.
  8. M

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Mungu awaponye majerui wote, bado tunawaitaji katika imani, taifa na duniani.
  9. M

    Walimu kugoma tena

    Walimu wa Tanzania sio waoga tofauti kati ya walimu wa kenya na Tanzania ni moja kubwa. Chama cha walimu kenya kinaweza kuwalipa walimu wote mishahara na posho zao zaidi ya mwaka wanapokuwa kwenye mgomo. Hivyo CWT kingekuwa kinaweza kuwalipa walimu mishahala pindi wanapokuwa kwenye mgomo mbona...
  10. M

    Mtazamo wa kisheria: Kwanini maamuzi ya spika ni batili

    Bungeni is a very difficult ground to play in but CHADEMA is manageing to get a fantastic result kwa hoja hizo Ndugai na Makinda hawachoki kwenye rufaa.
  11. M

    Tanzania to prosecute three officials over $41m aircraft leasing scandal...

    Tanzani wizi, uzembe, na ubinafsi kuweka maslai binafsi mbele mpaka lini. Hapa awa jama ishu nikwamba waliweka maslai yao mbele watu wananunua 26 worn out motor vehicles kwa $809.3 million alafu bandalini yameingia bila kukaguliwa na pesa za kuyatengeneza.! Daa we need reformation.
  12. M

    Sakata la Kutishiwa Maisha: Jukwaa la Katiba Wasakwa na Polisi...

    Things fall apart.! Kama mtanzania sijui kwa kukimbilia polisi siwaamini, mahakama ndovile, MUNGU asimame kati.
  13. M

    Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC atua nchini

    Mungu hawasaidie na kuwalinda wana hakiza binadamu. Mwanzo mzuri.
  14. M

    Matokeo kidato cha 4 yaua tena!

    Mungu wawape ujasili na imani ya maisha mazuri wale wote waliofeli kidato cha nne. Jamani mungu yupo watanzania tusikate tamaa ya maisha, tuzidi kumuomba Mungu atufungulie milango mingine ya mafanikio, atupatie nulu katika giza la matokeo haya, atushike mkono na kutuinua. By Mwl Mwakajila k.
Back
Top Bottom