Recent content by mwakaboy

  1. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Kiama: Uhakiki wa Mali na Wanachama wa CCM waja

    Zidumu fikra za mwenyekiti.....
  2. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Max Melo kajitolea kutulinda, sisi tumeshindwa kumlinda, lakini vifungu hivi vinawapa nguvu polisi

    Ulitaka aandikeje ili wamuelewe?
  3. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' awaombea kifo waandishi wa habari

    Nausubiri huo mwezi kwa hamu nione baba mchungaji anavyoanzisha rasmi biashara yake mpya ya gongo..
  4. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Mtukanaji wa mtandaoni, Shilole Kiuno akosa dhamana, apelekwa Segerea

    Mh dogo anaenda kuanzisha mashamba akasaidie kuzalisha chakula maana huku kitaa kakosa kazi.
  5. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa NEC CCM walaani maamuzi ya mwenyeketi.

    ...............mbele kwa mbele
  6. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Uongozi la Taifa CUF, kwa kutumia uwezo wake limemfukuza uanachama Profesa Lipumba

    hahaha....utanivunja mbavu zangu.
  7. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Muhogo mbichi na nazi vina msaada upi katika kufanya mapenzi?

    jaribu na wewe ndo utajua zinasaidia nini.
  8. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa kuwalipa madaktari na wafamasia wapya wanaokwenda mafunzo ya matazamio(internship

    hela zilizobaki zote zina kazi ya kulisafisha goli la mkono liwe la mguu..
  9. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Magufuli noma mdaraja zaidi ya 7200 yamejengwa katika 2005 mpaka 2015

    hilo daraja la kavuu hata huyo magufuli wako halijui na barabara ya rukwa to katavi imemshinda unatuletea porojo tu hapa..
  10. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Je! Diploma hii ya ECKERNFOD TANGA UNIVERSITY inatambuliwa na NACTE?

    Je diploma in management and teaching inayotolewa ECKERNFOD TANGA UNIVERSITY inatambuliwa na NACTE au NTA?
  11. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwimbaji wa Kwaya ya Lulu KKKT Mtoni George Njabili amefariki Dunia

    Mungu ailaze roho yake mahari pema peponi aminaa
  12. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Pinda akiwa rais, nchi itaingia kwenye machafuko siku sio nyingi

    mh sie makabwela tutakimbilia wapi maana wenyewe vigogo watachukua uraia wa nchi mbili!
  13. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, Pinda anawazidi Lowassa, Membe, Slaa na Lipumba

    acha kudanganya umma wewe,hayo mashamba ya kisasa ya asali yako katavi sehemu gani? huyo pinda wako hana msaada wowote.
  14. mwakaboy

    JamiiForums Tanzania Nimepata mfadhaiko ndani ya daladala

    huo ni uzinzi unakusumbua,nenda kaombewe..
Back
Top Bottom