umeongea vitu vya msingi sana mkuu we unadhani ni msichana gani atakayemkubali mwanaume asiye na kazi? kwa kweli ni ngumu sana kwa dunia ya sasa hivi coz mara tu unapomuapproch msichana swali la kwanza ni unafanya kazi gani na wapi?
ha ha ha ha ha aaaaa....! yaan sikuwa mpango wa ku-log in wakati napitia hii page lakini hii post imwenifanya ni-log in 2 kwa kweli....,
kuna watu wana vituko sana humu ndani aisee!
Tusaidiane wakuu,
Naomba kujuzwa ilipo ofisi za Unique Consultancy Service na ninachojua ni kuwa wapo kwenye jengo la New Red Cross Building ila tatizo ni kwamba sijui maeneo lilipo hilo jengo na linatazamana na jengo gani au ofisi gani itakayonisaidia kutambua kwa haraka.....
Na pia naomba...
Heshima mbele wakuu wote hapa jamvini.....
naomba msaada wa kujua ilipo ofisi ya Dour Tanzania Company Limited,ninachofahamu ni kwamba wapo mtaa wa samora ila sijui jengo ilipo hii ofisi linaitwaje au ipo mkabala na jengo gani
Sio mbaya pia kama mtanisaidia ilipo ofisi ya HR Solutions Ltd...
hapo kwenye red tu mkuu...umenifurahisha sana kutambua mchango wake kwenye maisha yako......in fact ukweli ndio huotu hamna lingine sasa kama haamini ajaribu kutumia nguve zake na akili zake mwenyewe aone kama hujakaa benchi mpaka mwisho wa msimu wa kutafuta ajira...!
haya ndio mambo tunayoyalilia na kuhuzunika kila siku.....kwa nini wanatufanyia hivi lakini...?au sisi watoto wa masikini hatustahili kuajiriwa katika mashirika kama haya..?hawajatangaza hizi nafasi kwenye chombo chochote cha habari wakati kwenye hilo tangazo inaeleza kuwa hizo nafasi ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.