Recent content by Mwaka Wa Saba

  1. M

    Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Kwenye hili Ngugulile akichomoa nitaamini uchawi upo
  2. M

    Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

    Nafikiri nimesema hivyo kuwa kupeleka tangazo tu la lottery hawakuelewi kabisa ila ukichanguliwa hapo utawapelekea nyaraka hizo. Pia kwa mwaka huu masharti ya lottery yamebadilika kabisa, muombaji lazima awe na passport bila hivyo hiyo entry yako haitapokelewa kabisa.
  3. M

    Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

    Passport hawatatoa kisa kuna lottery visa, uhamiaji kuna upuuzi mwingi mno na kama hicho kingekuwa kigezo basi kila 18+ mwenye elimu ya high school angekuwa ashaikamata kwa kisingizio cha kuomba lottery
  4. M

    Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

    Ushapata hiyo lottery au unamaanisha tangazo tu la hiyo bahati nasibu? Jamaa watataka barua ya mualiko na sio tangazo la fursa, ila kanyooshe mkono wako mkuu utaipata kirahisi tu.
  5. M

    Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

    Kwani kuna siku uhamiaji washatoa passport bila kuuliza dhumuni? Kwenye form ya kaombi hicho kipengele ni muhimu na nchi unayotaka kwenda wanataka ujaze, sasa hapa atuambie tu kuwa kuanzia leo rushwa imeongezeka kidogo ila hii sio taarifa ngeni labda kwa wale wasiojua huo mchakato. Tangu zamani...
  6. M

    Nuksi na mikosi imeniandama; Namna gani ya kuiepuka?

    Pole sana, ila kama umempoteza girlfriend na sio mke basi hakuna shida na kama wewe ndio umemtendea mabaya basi hapo hakuna nuksi. Lakini kama umeamua kumuomba Mungu basi hizo pombe nazo si uache kwakuwa pombe na toba havikai pamoja. Mwisho kabisa amua hatma yako kwa kufanya kile kinachowezekana...
  7. M

    ‘Fixed’?

    Ukiwa na shida hata Kiingereza kinakuwa shida kabisa, yaani kila ukijaribu kuamsha mdomo unakumbuka shida tu...ona sasa hata sielewi
  8. M

    Salim Kikeke kurejea nchini baada ya miaka 17 ya utumishi wake kwa "mabeberu"

    Kwani BBC ina Chanel ngapi unazojua wewe? Kuna English huko ushawahi kumuona mmatumbi? Kuna mpaka lugha fulani huko Nigeria
  9. M

    Msaada wa mawazo na ushauri

    Ahsante sana mkuu, hizi mambo nimeambiwa sana ila nashindwa nianzie wapi. Kiukweli nimetokea mazingira ambayo naweza sema Mimi ndio mtu wa kwanza kufika huko duniani na hata kusoma kiwango hicho. Bahati mbaya nimechelewa mno na ndugu wameniangalia waone mwisho wangu
  10. M

    Msaada wa mawazo na ushauri

    Shukran sana mkuu, naamini nitasimama na Mungu yupo kwani yapo mengi alinipa bila kumuomba.
  11. M

    Msaada wa mawazo na ushauri

    Kiukweli nimejiweka karibu na Muumba wangu, pili sijawahi hata kwa makusudi kumdhuru mtu au kumuumiza, hata kazini sijawahi kuwa kuburi au kikwazo kwa mtu yoyote hilo nasimama kulisema ila binadamu hatuwezi kuwa wakamilifu. Ninachofahamu nishawahi kupata vikwazo baada ya kupewa majukumu makubwa...
  12. M

    Msaada wa mawazo na ushauri

    Shukran kwa ushauri wako mkuu
  13. M

    Msaada wa mawazo na ushauri

    Ahsante kwa ushauri wako
  14. M

    Msaada wa mawazo na ushauri

    Kiukweli chale na haya mengine hapana na hicho ndio chanzo cha kuachwa nipigane mwenyewe, ila huenda wapo watu wanaweza kukuvusha kwakuwa Mungu kawafanya sababu
Back
Top Bottom