1. sio kila mtu ana uelewa, utashi, akili, ustadi na juhudi sawa walizonazo wengine. Kila mtu ana mahitaji na matakwa yake, wakati wengine wana elimu na hawana kazi, wengine wanatamani elimu hiyo hiyo hata kama hawana kazi. Hivyo ni vyema kila msomi akaangalia anahitaji nini, anastahili nini na...