Nafasi za Kazi ya kuuza bidhaa mtaani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za Kazi ya kuuza bidhaa mtaani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mwajiri, Jul 6, 2012.

 1. m

  mwajiri Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunahitaji vijana kwa ajili ya kuuza bidhaa zetu (vitabu) kwa kutembeza mtaani ( kwenye maofisi, mabaa, vyuoni, barabarani, njiani nk). Kwa wanahitaji , tafadhali wasiliana nasi kwa:
  La VIVA BOOK PROJECT
  P.O BOX 79119
  Dar Es Salaam
  Mob : 0657 10 12 14

  Mshahara : Tsh 300,000 kwa mwezi.

  Sifa za mwombaji:
  - Awe mtanzania
  - Ajue kusoma na kuandika kwa ufasaha
  - Awe na umri usiopungua miaka 18
  - Awe muaminifu
  - Awe na wadhamini wawili
  - Awe tayari kufuata taratibu za kazi atakazopewa.

  NB: Mwombaji anatakiwa kuja na vitu vifuatavyo:
  • Picha moja ya rangi
  • Nakala ya vyeti vya shule / vyuo alivyosoma
  • Barua ya uthibitisho kutoka serikali za mitaa
  • [FONT=&quot]Barua za wadhamini wawili zenye picha moja moja[/FONT]
   
 2. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Laki 3 naitaka, ila kutembea mitaani jua kali kama kuku siwezi..HABARI NATOKEA KAMPUN YA BLAH BLAH, NIMEWALETEA FURAHA YA AJABU, NAUZA TOOTHPICK, UKIJICHOKONOA INAKUPA UBARID KAMA AC, INA BLOOTOOTH, COLGATE, INA MEMORY CARD..kabla hata hujamalizia unasikia ASANTE DADA , mwingne NITOKEE HAPA BWANA WEE, hahaha kazi kwelikweli.
   
 3. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  teh teh teh! KILAunja, kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  haha asante catherine bt hapo nimejitoa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Du!inahitaji uwe na mioyo miwili
   
 6. bona

  bona JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  hii si kazi ya kuja tangaza apa jf huo ni umachinga na wala haina uhusiano wowote na ujasiriamali!
   
 7. m

  mwajiri Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. kazi gani zinapaswa kutangazwa na zipi hazifai kutangazwa mkuu????
  2. umachinga ni ugonjwa kusema ukifanya utakufa??? hao wengine wanaofanya wana nini??
  3. ujasiriamali ukoje mkuu utujuze wengine tujifunze.

  Nb: Najua jua lishawapiga sana mtaani kwa kuhangaika kutafuta kazi kwenye makampuni yenye majina makubwa na kutaka mishahara mizuri ili muwalingishie na kuwabeza wengine kama mnavyofanya humu. Usiyoilamba inakuwashia nini??? kama tangazo halikuhusu kuna umuhimu gani wa kubeza, kukandia, kuponda, na kuwadhalilisha wengine???

  Kwa kukusaidia, neno MACHINGA halijatokana na kabila la watu wa kusini kama unavyozani, limetokana na neno "matching- guys" ambao ni watu wa mauzo wanaotembeza bidhaa, sema kwa sababu miaka mingi biashara hii ilikuwa inafanywa na watu wengi ambao hawana elimu ya darasani ambao wengi wao ni watu wa kusini hasa wamachinga basi kulakulala kama nyie msioelewa likawakaa kichwani hadi leo na kudhani kuwa umachinga umetokana na kabila. Tena badala ya kuwapa support vijana wenzenu kwa kuamua kujiajiri na kuachana na wizi, utumiajai wa madawa ya kulevya na umalaya mnaanza kuwabeza na kuwadharau.

  Hii ni mifumo ya taaluma ya Sales and Marketing.(Door-to-door is a sales technique in which a salesperson walks from the door of one house to the door of another trying to sell a product or service to the general public.

  Direct selling is the marketing and selling of products directly to consumers away from a fixed retail location. Peddling is the oldest form of direct selling.[SUP][/SUP]Modern direct selling includes sales made through the party plan, one-on-one demonstrations, and other personal contact arrangements as well as internet sales.[SUP][/SUP] A textbook definition is: "The direct personal presentation, demonstration, and sale of products and services to consumers, usually in their homes or at their jobs."[SUP][/SUP][SUP][/SUP]
   
Loading...