Recent content by mwaiser

  1. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

    Mkuu, hiyo safari inamuhusu mwenye Pub au huo mgahawa. So inawezekana tunamsapoti kwa kufika eneo husika na kufanya manunuzi
  2. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Filimbi za matundu 8 zimepotelea wapi?

    Zimeanza kurudi mkuu, naziona sana kwa wamachinga fileni za mwenge na ubalozi
  3. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu anajipatia madaraka miaka mitano ijayo bila ridhaa ya wananchi, watanzania tupaze sauti zetu

    Kipindi kilichopita hata kucomment hapa ilikuwa haitakiwi. Umepewa uhuru wa kuongea unaongea pumba zako. Tozo ni kubwa kuliko ndege zlizonunuliwa bila kufuata utaratibu? Tozo na mikopo ya 29.5t iliyosababishwa na last regime kipi cha kukemewa. Losted sper*m shut up.
  4. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu anajipatia madaraka miaka mitano ijayo bila ridhaa ya wananchi, watanzania tupaze sauti zetu

    Sukuma gang mnateseeeka. Sisi tupo na bi mkubwa (Hangaya) mpaka achoke. Na ule mpango "hata akiwa hataki alazimishwe" tutaingia ktk utekelezaji wake
  5. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Mnaohubiri stand ya Mbezi mnaboa

    Teh teh teh aisee hata mimi sijawahi kukuta mahubiri. Ni mwendo wa kutishana tu madhara ya kutotoa sadaka
  6. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Watoto wa IGP Mstaafu Omari Mahita walioajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania wako wangapi?

    Sio lazima iwe hivyo. Tutamkatisha tamaa mtoto wa mwijaku.
  7. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

    Vaa barakoa mkuu
  8. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Uchafu na unyama wa mabasi ya MATUNDULU, tumetelekezwa njiani bila taarifa. Tunaomba msaada

    Kuna basi jingine linaitwa ALPHA linaenda kanda ya ziwa pia. Tutasikia kitu siku moja
  9. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

    Mi nnachokiona ni suala la hang over ndo linamtesa. Imagne mtu aliyekuwa na uwezo wa kunywa chai Ikulu miezi kadhaa nyuma eti leo ghafla UVCCM walishampa onyo, shaka kamkemea, TCRA hawamtaki aongee, kuchanganyikiwa ni lazima
  10. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani msaidie meneja wa TANESCO Mkoa wa Iringa

    Mkuu mi sijaona pahala mlalamikaji amesema aondolewe kazini. Rudia kusoma Tena na Tena. Kama tatizo kweli lipo Basi asaidiwe kama alivyoshauri huyo mteja na kusaidiwa kupo kwa Aina nyingi aidha kuongezewa staffs, vitendea kazi n.k. kwanini umekimbilia kufukuzwa kwa Meneja? Kama sio muhusika hapo...
  11. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Munazzamat dawa Al Islamiya unaibipu PCCB

    Mkurugenzi wa taasisi ya Munazzamat dawa Al islamiya ( MDI) Tanzania Bw. Ally Magoga akishirikiana na board of trustees wapo busy Sana kuitafuta serikali ya Magufuli. Taasisi hii inamiliki shule za Ununio na Kunduchi girls. Ununio ilifungwa kutokana na ulafi uliokithiri wa viongozi na kupelekea...
  12. mwaiser

  13. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Munazzamat Dawa Al Islamiya unaichokoza TAKUKURU

    Mkurugenzi wa taasisi ya Munazzamat dawa Al islamiya ( MDI) Tanzania Bw. Ally Magoga akishirikiana na board of trustees wapo busy Sana kuitafuta serikali ya Magufuli. Taasisi hii inamiliki shule za Ununio na Kunduchi girls. Ununio ilifungwa kutokana na ulafi uliokithiri wa viongozi na kupelekea...
  14. mwaiser

    JamiiForums Tanzania Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    [emoji3][emoji3][emoji3] Ndo maana huwa sipendi kucomment comment JF. Watu mna maswali mafupi Ila hayajibiki
Back
Top Bottom