Kweli ww ni shujaa umepewa hadi ulinzi wa kukusindikiza kwenda kuwachana ukweli wao aisee sijawahi ona chuma kama hichi, songa mbele mzee Baba Gwajiboy
Siyo sawa kabisa na mm ni mmoja wapo ya hayo makundi na sipo tayari kuchanjwa mm wala familia yangu maana msemo wa Gwajima hatujui tutakuwa wakina nani baada ya miaka kadhaa huko mbele
Gwajima ni mpenda haki na msema ukweli siku zote na kama kuna jambo haliendi sawa huwa siyo muoga kuliweka wazi tungepata viongozi kama Gwajima nchi ingekaa sawa.
Nikwambie tu ukweli kama ulikuwa hujui Askofu Gwajima anakubalika na wana Kawe na dini zote na atapita kwa kishindo hadi utashangaa na baada ya October 28 urudi tena na hii post yako tutakujibu tena.
Sasa kwa taarifa yako hao hao waislamu unao wasema wewe na hao wakatoliki ndiyo watamchagua kwa kura nyingi kuliko unavyodhani wewe.
Gwajima anakubalika kuliko akili yako inavyowaza.
Amefanya nini huyo zaidi ya kwenda mahakamani tu kila siku hata hakumbuki kama tulimchagua ili kutatua kero zetu awamu hii bora tumchague Gwajima tu anaweza akatuletea maendeleo ya kweli.
Gwajima ndiyo kiboko wa Halima na safari hii atatokwa na jasho hadi la kwenye nanilihu yake maana hana sera wala hoja amepewa miaka 10 hakuna tulichokiona amekifanya Kawe barabara hakuna, shule mbovu, hospital ndiyo kabisa atakuja kutuambia utumbo gani ili tumchague?
Akatafute bwana aolewe sasa.
Ww utakuwa umekunywa K-Vanti ndiyo maana unaongea pombe pombe boya ww.
Umemfananisha Gwajima na huyo mwenyekigoda wenu Mbowe maana yeye ndiyo alikataliwa na wananchi na huyo Bibi yenu Halima tulimtimua kwenye kata yetu maana hakuna alichotufanyia zaidi ya ile kazi yake ya kukoboa.
R.I.P CDM...
Barabara za makongo juu zote ni vumbi tupu ametekeleza nini hapo zaidi ya kuandika uongo na unafki tu?
Akajipange tena maana safari hii hatutamchagua tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.