#COVID19 Katika kukabiliana na UVIKO-19, ni sawa kuanza kuyachanja haya makundi yaliyopendekezwa na kamati ya Profesa Aboud?

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Simiyu, Tanzania

Mheshimiwa rais Samia alipoingia madarakani aliunda kamati ya wataalamu wa hapa nchini ili kufuatilia mwenendo wa mlipuko wa UVIKO-19 na kumshauri njia za kutumia katika kuthibiti janga hili. Rais alifanya vizuri sana kufanya hivi kwa sababu hili ni janga la kimataifa.

Lakini ni muhimu kuweka rekodi sawa katika jambo hili pamoja na uhalali na umuhimu wa kuwepo kamati.

Wakati kamati inaundwa janga la korona lilikuwa na zaidi ya mwaka katika nchi ya Tanzania, na kwa muda wote huo Tanzania ilikuwa imefaulu kwa kiasi kikubwa katika juhudi zake za kupambana na janga hili na wengi katika mataifa yaliyotuzunguka walikuwa wanatamani kuwa wananchi wa Tanzania. Pamoja na kwamba nchi za jirani na nyingine kwa mfano, Afrika Kusini, Kenya na Uganda zilifungia watu ndani, Tanzania haikuchukua uamuzi huo. Hayati Magufuli aliruhusu watu waendelee na shughuli zao kama kawaida huku wakimwomba Mungu na kuzingatia ushauri wa Wizara ya Afya.

Mpaka kampeni za uchaguzi zinaanza mwaka jana, na kufanyika kwa kipindi cha miezi miwili, shughuli ambazo zilihusisha makusanyiko ya watu, wengine wakisafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na wengine jimbo moja kwenda jimbo lingine, hakukuwepo na mabadiliko katika hali ya kiafya ya watanzania kuhusiana na janga la korona. Huku kwetu, watu waliamini kabisa korona imetoweka na wengine kwamba kama korona ilikuwepo basi haikuwa na madhara.

Kama kweli korona ilikuwepo kipindi kile cha kampeni, na ilikuwa inaenea kupitia mikusanyiko ya watu, kwa nini haikuuwa maelfu ya watu. Maana kama ingekuwa inaenea kwa kasi kupitia mikusanyiko ya watu basi watanzania wengi wangeambukizwa kipindi hicho na vifo vingi vingetokea.

Sasa kama korona iliingia Tanzania, ambalo ni ukweli, lakini yakafanyika mambo ambayo yalifanyika, kama kumuomba Mungu na kutumia tiba za asili basi mambo hayo yalisaidia hata kama hayawezi kuthibitishwa kwa formula za kisayansi.

Kwa hiyo kamati ilitakiwa ifanye marejeo katika mambo yaliyokwisha fanyika na kuifanya Tanzania kufanikiwa katika kupambana na UVIKO-19, lakini haikufanya hivyo?

Pamoja na mambo mengine ambayo kamati ilishauri ambayo yawezekana haikufanya utafiti na ufuatiliaji wa kutosha, ni kupendekeza makundi maalumu katika kutekeleza mpango wa chanjo dhidi ya UVIKO-19.

Baadhi ya makundi yaliyopendekezwa kupewa kipaumbele katika chanjo ni pamoja na wahudumu katika vituo vya afya, watu wanaolinda mipaka, viongozi wa dini, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na watumishi walio mstari wa mbele katika sekta ya utalii na hoteli.

Sasa kama umekuwa mfuatiliaji wa mambo chanjo za UVIKO-19 zina madhara yanayoambatana nayo. Hii yaweza kuwa kwa sababu ya teknolojia iliyotumika kuzitengeza, lkn pia haijachukua muda wa kutosha kuzijaribu lkn pia haikufanyika utafiti wa kutosha kama ambayo inakuwaga kwa chanjo zingine.

Mbali na sababu hizo, yameripotiwa matukio ya watu waliothirika kutokana na chanjo na wengine kufa baada ya kuwa wamechanjwa.

Kazi ya chanjo ni kuwakinga watu na ugonjwa. Kama watu wanakufa baada ya kuwa wamechanjwa, hata hata ni sehemu ndogo ya waliochanjwa basi hiyo chanjo sio salama...

Sasa kama kifo kinaweza kumpata mtu aliyechanjwa, kamati haikuona hayo makundi ambayo ni muhimu sana katika taifa yakichanjwa, na madhara yakawapata, watoa huduma katika sekta hizo watatoka wapi??

Kama kweli hii kamati ikuwa na uzalendo na taifa na wananchi wa Tanzania, ilishindwa kuonyesha madhara ya chanjo yaliyowapata wananchi wa nchi nyingine na kushauri namna ya kufanya...?

Sikuwa nimezingatia sana kauli za askofu Gwajima, lakini nilipoangalia tena ripoti ya kamati na mapendezo yao hususani makundi yanayotakiwa kupewa kipaumbele,nikaona hii kamati inabidi ipitie mapendekezo yake upya!!!

Kamati inataka kumwambia Mhe rais Samia kwamba madaktari wote na wauguzi waanze kuchanjwa? Wakipata madhara itakuwaje?

Kamati inataka kumwambia Mhe rais kwamba polisi na majeshi yote wachanjwe? Wakipata madhara itakuwaje?

Kamati inataka kuwambia Mhe rais kwamba watu wa uhamiaji waanze kuchanjwa? Wakipata madhara itakuwaje?

Je, kamati hii imetokea wapi? Watu hawa hawakuwepo wakati korona inaanza mwaka jana? Njia zilizotumika kukabiliana na korona mwaka jana hapa Tanzania hazifai? Kweli?

Profesa Aboud na kamati yake inabidi wajitafakari upya.

Hamisi Mzalendo
hamis@rocketmail.com
Simiyu
 
Siyo sawa kabisa na mm ni mmoja wapo ya hayo makundi na sipo tayari kuchanjwa mm wala familia yangu maana msemo wa Gwajima hatujui tutakuwa wakina nani baada ya miaka kadhaa huko mbele
 
Kuongeza hapo kipindi cha mazishi ya JPM mkusanyiko ulikuwa mkubwa lakini hatukusikia swala la korona, ila baada ya kamati korona imekuwa kipaumbele. Sasa hata ukifa kwa moto ni korona! Tuchukue Tahadhali ipo mtaani kwako! DELTA
 
Sijawahi waamini watu ambao wamefanya kazi kwenye NGOs wanapenda sana Fedha wapo tayari kusema uongo wapate pesa tu ni kama madalali wapo radhi kusema uongo wapate kodi ya mwezi mmoja tu wakikiacha ww ukipata tabu miezi 6 au mwaka
 
Hao askari wangewaacha mazoezi wanafanya korona itakuwa mbali kidogo wangewapa wananchi masikini hii itakuwa na tija zaidi.
 
Walisha ifuta hiyo,wanasema dk ya 7 amesharuhusu goli
Yaani nawazoom siwaoni kabisa mkuu, mwingine namuona ameamua kuanzisha mada za issues tofauti na siasa.

Nilisema mapema, hii mambo za siku 100 sijui nini, siyo za kukurupuka kabisa.
 
Simiyu, Tanzania

Mheshimiwa rais Samia alipoingia madarakani aliunda kamati ya wataalamu wa hapa nchini ili kufuatilia mwenendo wa mlipuko wa UVIKO-19 na kumshauri njia za kutumia katika kuthibiti janga hili. Rais alifanya vizuri sana kufanya hivi kwa sababu hili ni janga la kimataifa.

Lakini ni muhimu kuweka rekodi sawa katika jambo hili pamoja na uhalali na umuhimu wa kuwepo kamati.

Wakati kamati inaundwa janga la korona lilikuwa na zaidi ya mwaka katika nchi ya Tanzania, na kwa muda wote huo Tanzania ilikuwa imefaulu kwa kiasi kikubwa katika juhudi zake za kupambana na janga hili na wengi katika mataifa yaliyotuzunguka walikuwa wanatamani kuwa wananchi wa Tanzania. Pamoja na kwamba nchi za jirani na nyingine kwa mfano, Afrika Kusini, Kenya na Uganda zilifungia watu ndani, Tanzania haikuchukua uamuzi huo. Hayati Magufuli aliruhusu watu waendelee na shughuli zao kama kawaida huku wakimwomba Mungu na kuzingatia ushauri wa Wizara ya Afya.

Mpaka kampeni za uchaguzi zinaanza mwaka jana, na kufanyika kwa kipindi cha miezi miwili, shughuli ambazo zilihusisha makusanyiko ya watu, wengine wakisafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na wengine jimbo moja kwenda jimbo lingine, hakukuwepo na mabadiliko katika hali ya kiafya ya watanzania kuhusiana na janga la korona. Huku kwetu, watu waliamini kabisa korona imetoweka na wengine kwamba kama korona ilikuwepo basi haikuwa na madhara.

Kama kweli korona ilikuwepo kipindi kile cha kampeni, na ilikuwa inaenea kupitia mikusanyiko ya watu, kwa nini haikuuwa maelfu ya watu. Maana kama ingekuwa inaenea kwa kasi kupitia mikusanyiko ya watu basi watanzania wengi wangeambukizwa kipindi hicho na vifo vingi vingetokea.

Sasa kama korona iliingia Tanzania, ambalo ni ukweli, lakini yakafanyika mambo ambayo yalifanyika, kama kumuomba Mungu na kutumia tiba za asili basi mambo hayo yalisaidia hata kama hayawezi kuthibitishwa kwa formula za kisayansi.

Kwa hiyo kamati ilitakiwa ifanye marejeo katika mambo yaliyokwisha fanyika na kuifanya Tanzania kufanikiwa katika kupambana na UVIKO-19, lakini haikufanya hivyo?

Pamoja na mambo mengine ambayo kamati ilishauri ambayo yawezekana haikufanya utafiti na ufuatiliaji wa kutosha, ni kupendekeza makundi maalumu katika kutekeleza mpango wa chanjo dhidi ya UVIKO-19.

Baadhi ya makundi yaliyopendekezwa kupewa kipaumbele katika chanjo ni pamoja na wahudumu katika vituo vya afya, watu wanaolinda mipaka, viongozi wa dini, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na watumishi walio mstari wa mbele katika sekta ya utalii na hoteli.

Sasa kama umekuwa mfuatiliaji wa mambo chanjo za UVIKO-19 zina madhara yanayoambatana nayo. Hii yaweza kuwa kwa sababu ya teknolojia iliyotumika kuzitengeza, lkn pia haijachukua muda wa kutosha kuzijaribu lkn pia haikufanyika utafiti wa kutosha kama ambayo inakuwaga kwa chanjo zingine.

Mbali na sababu hizo, yameripotiwa matukio ya watu waliothirika kutokana na chanjo na wengine kufa baada ya kuwa wamechanjwa.

Kazi ya chanjo ni kuwakinga watu na ugonjwa. Kama watu wanakufa baada ya kuwa wamechanjwa, hata hata ni sehemu ndogo ya waliochanjwa basi hiyo chanjo sio salama...

Sasa kama kifo kinaweza kumpata mtu aliyechanjwa, kamati haikuona hayo makundi ambayo ni muhimu sana katika taifa yakichanjwa, na madhara yakawapata, watoa huduma katika sekta hizo watatoka wapi??

Kama kweli hii kamati ikuwa na uzalendo na taifa na wananchi wa Tanzania, ilishindwa kuonyesha madhara ya chanjo yaliyowapata wananchi wa nchi nyingine na kushauri namna ya kufanya...?

Sikuwa nimezingatia sana kauli za askofu Gwajima, lakini nilipoangalia tena ripoti ya kamati na mapendezo yao hususani makundi yanayotakiwa kupewa kipaumbele,nikaona hii kamati inabidi ipitie mapendekezo yake upya!!!

Kamati inataka kumwambia Mhe rais Samia kwamba madaktari wote na wauguzi waanze kuchanjwa? Wakipata madhara itakuwaje?

Kamati inataka kumwambia Mhe rais kwamba polisi na majeshi yote wachanjwe? Wakipata madhara itakuwaje?

Kamati inataka kuwambia Mhe rais kwamba watu wa uhamiaji waanze kuchanjwa? Wakipata madhara itakuwaje?

Je, kamati hii imetokea wapi? Watu hawa hawakuwepo wakati korona inaanza mwaka jana? Njia zilizotumika kukabiliana na korona mwaka jana hapa Tanzania hazifai? Kweli?

Profesa Aboud na kamati yake inabidi wajitafakari upya.

Hamisi Mzalendo
hamis@rocketmail.com
Simiyu
Wangeanza na wanasiasa kwanza, hata wakiwa ma zombie haina shida maana hawana faida yoyote kwa nchi hii
 
Back
Top Bottom