Recent content by mwaipembe

  1. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Anguko la Mabenki laweza kuikumba Tanzania

    Sijui ndo umeandika nn? Yaani mnataka turudi kwenye ujima Mnakuja hapa kusifia ujinga.Bibi yako wa kishumundu utamtumiaje pesa kwa haraka kama si mpesa au tigopesa? Kweli ukiwa .... Lazima zikutoke kidogo
  2. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    simuoni mtela mwampamba na mtefu au macho yangu hayaoni vizuri?
  3. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania IPP Media na Kuangalia Fursa kupitia ITV, Radio One na Magazeti yao

    nimeliona hilo leo cjajua kama nao tayari wamekengeuka kama TV za ccm
  4. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Njama za kuhujumu upinzani zabainika

    wanataka kuleta vita nchini Hawa magamba.wataisoma namba
  5. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Je, Kangi Lugola kachukua fomu ya Ubunge

    mwananchi leo imeripoti bulaya kachukua form
  6. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

    anaenda act .cdm leo kura za maoni.kila lakheri aendako
  7. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amkaanga Lowassa, adai hana hadhi ya kuomba Kura za Wananchi

    hyo ndo siasa .slaa nae alikuwa ccm.zilipendwa hizo
  8. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda arrests two Presidential hopefuls, Former Prime Minister and leader of Opposition

    mseveni ni dictator hafai kabisa
  9. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Mwenye Wasifu wa Mhe. Charles Mwijage naomba anijuze pls

    tatizo watanzania wengi mnajua masters ' PhD ndo wanajua kila kitu.maprof wengi vilaza hata kujenga hoja hawajui na reasoning yao poor sana.MTU unasimama eti form six' mnyika ni great thinker kuliko hao maprof wenu viiyo wa ccm
  10. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni - Julai 04, 2015: Spika aamrisha wabunge wa Upinzani kutolewa Bungeni

    wanajua tanga hamjaamka hata mkiona kinachoendelea haina shida kwao sio kama mby au rock city
  11. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wasira Kufukuza kazi mkurugenzi wa RUBADA - Utata mtupu

    wanakurupuka utafikiri braza k wa futuhi.wasira ni mwongo amekurupuka bila kuwa na uhakika.aibu yao
  12. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani, aamriwa kulipa gharama za kesi

    mnamsifia zitto wkt escrow aliisha surrender bila kamanda mbowe kukomaa hatua zote hizi zingekuwa ndoto.msaliti mkubwa huyu na anajiona mungu mtu.atimuliwe tu tuone kama kuna jeshi la mtu mmoja.viva cdm
  13. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Naibu spika mhe. Ndugai ni mzima wa afya wala sio mgonjwa

    wanatudanganya lazima kama kiongozi wa bunge kwa komba tungemwona.lazma waseme ukweli tu .zaid tumwone job kwenye vyombo vya habari
  14. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya Sukari kufungwa, Serikali yajiandaa kuagiza tani 100,000 za Sukari nje

    huyu mdada foxy hajitambui kachanganyikiwa kakosa ukuu wa wilaya kisa sura yake mbaya na flat makalio .amebaki kubwabwaja tu humu.huyo dawa yake sio kumchekea nikumpa makavu.wenzie makada wapo kimya kwa kuwa wanajua hili linagusa maslahi mapana ya taifa yeye kila kitu kukosoa.kwanza msimpandishe...
  15. mwaipembe

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    uoga wako tu .nchi ipo salama propaganda za kitoto tumezizoea.inakuwaje hakuna gaidi hata mmoja aliyekamatwa halafu wanasema wananchi wasiwe na hofu .huu ni uongo mtakatifu wa vyombo vya dola
Back
Top Bottom