We hukupata huo mkwanja. Acheni kumbwela mbwela watu wamekula hela unakuja kutetea humu jamii forum ufala huo
Yaani watu bwana hata huu wizi wa wazi bado mnatetea hivi mmelishwa nini watanzania jamaniii
Profesor Ibrahimu Juma alikuwa pale faculty of law Udsm na Mbunge wa Chalinze wa sasa alidisco ila prof Juma akiwa dean of faculty alifanya anavyojua mpaka Riziwani akamaliza degree yake na siku chache baadaye Prof juma akateuliwa kuwa jaji wa mahakama
Si kweli kwamba Rais hana uwezo wa kulivunja Bunge Maalumu la Katiba kama ilivyonukuliwa na vyombo vya habari from state House.
Kifungu cha 27 cha sheria ya mabadiliko ya Katiba Sura ya 83 ya mwaka toleo la 2013. ina sema hivi:
1.Kwa kuzingatia masharti ya Sheria yoyote ya Bunge Maalum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.